Namtafuta mume mwenye sifa hizo

Namtafuta mume mwenye sifa hizo

- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-

Sifa zangu

Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi

Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
Chonga wako.........single mother bhn....mnasumbua sana mjini...eti hasiwe mhaya....unaolewa na kabila au mtu.....ukabila wa nn ?
 
Wahaya wana hela huwataki kwani i acha ukabila hufai kua mke wewe
 
- Mume anayetambua thamani ya mwanamke yaani kumheshimuvna kumpenda.
- Umri 35-48
- Awe na watoto 2, kama hana mtoto na hana uwezo wa kupata mtoto kabisa pia anakaribishwa twaweza adopt Ikiwa atapenda.
- Mwenye kujua na kutimiza majukumu yake yakifamulia.
- Mwenye upendo kwa mke na watoto wote bila ubaguzi.
- Dini RC
- Awe anapenda kujishughurisha /kupambana kwa ushirikiano na mke ili kupata kipato kwa maendeleo ya familia.
- Awe muajiriwa au amejiajiri mwenyewe.
- Awe tayari kupima HIV na kufuata taratibu zote hadi ndoa.
- Asiwe Mhaya na asiwe mlevi pia
-

Sifa zangu

Umri 35
Watoto 2
Numeajiriwa
Sutumii kilevi

Kwa mwenye sifa hizo karibu PM ukitaja wasifu wako, maelezo yako na nia yako ya dhati ndiyo yatapelekea matokeo chanya kati yetu.
Wewe unataka Mume asie na Ubaguzi, lakini wewe umeshaanza Ubaguzi. Tueleze kwa sababu gani hutaki Muhaya?
 
Hii ya pili naona "asiwe muhaya" inahusishwa hawa wahaya wana nini? kweli zama zilebadilika kutoka wamakonde, wamasai sasa wahaya [emoji23][emoji23]?
 
Mbona personal attacks??? Aiseee
Pole Mdada puuzia kazana Na Pm tu wapo walio serious
Nakwambia
Humu wapo Wanaume wanaojielewa sana
Usibabaike Na tuvulana twa Veta
Kumbe ww ni mpuuzi wa hadhi ya PHD.kwa faida yako na ya hao wanaotaka kumuoa tunampima uwezo wake wa kuhandle vikwazo.we wadhani nani aokote dubwana pasi kuwa na uhakika nalo
 
Kila la heri mamy wahaya wana nini jaman nyerere alikataza ukabila
 
Dah... Mbona ukubwa wa mnara pamoja na nguvu ya network huwa hamuisemi?[emoji41]
 
Back
Top Bottom