Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.

Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.

Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa mweupe, pia tulikuwa tukionana pale tulipokuwa tukienda kwenye ibada, kanisa la kristu mfalme.

Hitaji langu kwa sasa, nikuone tu na niweze kukusalimia.

Popote ulipo, naomba ujitokeze.​
 
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.

Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.

Hitaji langu kwa sasa, nikuone tu na niweze kukusalimia.

Popote ulipo, naomba ujitokeze.​
Mkuu inaonekana huyo mke wako wa sasa anakusumbua sana umeanza kukumbuka furaha zako za zamani!

Huyo Neema ulikosea sana kumuacha na usifikiri kwa kuwa wewe hukuona thamani yake wengine pia hawakuiona. Ana maisha yake kwa sasa, acha kumharibia!
 
Kweli mkuu, ingawa hisia huwa hazijifichi
 
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.

Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.

Hitaji langu kwa sasa, nikuone tu na niweze kukusalimia.

Popote ulipo, naomba ujitokeze.​
Kweli mkuu, ingawa hisia huwa hazijifichi
Hiyo ni hali ya kawaida sana unapokabili changamoto za mahusiano. Huwa tunawakumbuka sana wale tuliokuwa nao zamani. Lakini hilo sio suluhisho, kwa kuwa hata ukimpata huyo Neema mkarudiana, baada ya muda unaweza kuona huyu ulie nae sasa ni nafuu kuliko hata huyo Neema! Kumbuka kuwa Neema hukuwahi kuishi nae kama huyu wa sasa, kwa hiyo kuna mengi juu yake hayakujitokeza kwako, unakumbuka mazuri tu aliyokuonyesha
 
Back
Top Bottom