Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

Dahh demu wako usimjue hata jina la pili...? Tena ulipanga uje umuoe....Haukuwa serious
Sikuzingatia sana kipindi hicho, zaidi ya kulana huku akiwa amefumba macho pamoja na kutafuna bigijii.
 
Back
Top Bottom