Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

Hapa lazma huyu bibie neema alifanya mkubwa sana pale kunako 6×6 aliacha alama hadi mangi anaweweseka kiuwendawazimu kwa kumkumbuka neema. akinadada kazi kwenu mkachukue notes kwa neema😂
 
Mimi namtafuta Foibe, tulikuwa tunakaa dawati moja form ii, badala ya kusoma nikaanza kumpenda ila sikuwa na uthubutu, niliendelea kula kwa macho hadi tukamaliza shule..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Namtafuta Shani, yeye alikuwa sweetheart wangu shule ya upili, alichangia mimi "kufeli" kwa kuendekeza malove badala ya calculus..[emoji1787][emoji1787]
kwahyo mkuu wewe shuleni ndo ulikuwa unajiita mbosso khan fundi wa mapenzi au sio[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi.

Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana.

Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa mweupe, pia tulikuwa tukionana pale tulipokuwa tukienda kwenye ibada, kanisa la kristu mfalme.

Hitaji langu kwa sasa, nikuone tu na niweze kukusalimia.

Popote ulipo, naomba ujitokeze.​
Nilimuona pale kwa Mangire akiangalia blue usiku mkubwa kisha asb nikakutana nae akinunua mabubu maeneo yetu nyuma ya MERU 16 alafu nikampeleka kula mdudu pale Kitandu mara TOD huyu hapa ikabidi nikimbilie hme kwa mama Rachel ilikuwa msala
 
Bilashak neema aliupiga mwingi 😂😂😂
Ukimpata mkuu mlete atupe notes😂
 
Back
Top Bottom