Namtafuta Ndugu Humphrey Polepole. Mwenye taarifa ya uhakika ya mahali alipo tafadhali

Namtafuta Ndugu Humphrey Polepole. Mwenye taarifa ya uhakika ya mahali alipo tafadhali

Ila Mama Samia kiboko.
Balozi wa serikali yako anapotea halafu huna habari naye.
Kama hiyo haitoshi, Makamu wako wa Rais anapotezwa kienyeji tu na wewe mkuu wake hata kwa kuigiza huoneshi kushtuka.
 
Unaonaje ukienda kituo cha polisi cha jirani yako ikaulizie, si unatua tena polisi jamii tusiwaogope tuwasogelee tuwaulize maswali kama hayo.
 
Unaonaje ukienda kituo cha polisi cha jirani yako ikaulizie, si unatua tena polisi jamii tusiwaogope tuwasogelee tuwaulize maswali kama hayo.
Afu siku hizi wanapigika kirahisi tu. Kama madaktari tu wanawamudu, vipi mabaunsa?
 
Shughulika na ufanisi wa bandari zako ulizopewa, achana na habari za polepole hutazijua alipo
 
Back
Top Bottom