Namtafuta raia wa Kenya wa kufanya naye biashara

Namtafuta raia wa Kenya wa kufanya naye biashara

Ingia Instagram kwenye business page za wakenya au Nigerians watakupatia muongozo.
 
Hapo vip!!

Hapo vip!!

Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha,ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka..

Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria..niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
Sehemu nzuri za kuwapata si hapa. Kwa Wanaigeria Nenda naira land na wakenya Nenda misterseed, Tuko. Ukifanikiwa tupe mrejesho.
 
Tembelea The Hub siku moja moja, sio Lazima unywe pombe

Kabisa atakutana na wakenya wanaija wengi the Hub. Arusha kuna raia from every corner of this world. Awe mtu wakujichanganya.

Pia Gran Mèlia siku kama ya kesho, wanaandaa event ndogo watu kukutana kunywa na bites kimtindo wanatoa. Utalipia $$ kiasi. Utakutana na watu muhimu kwenye business hasa tourism
 
Tumbo halikai na mjinga
Eti kuiba ujanja wakati kwa wazungu mwizi ni anafananishwa na shetani na mtu mpumbavu na mjinga aliyeshindwa kutafuta kwa akili zake na nguvu zake..nchi zenye jamii ya kistaraabu hata pesa zako ukidodosha utatafutwa na kupewa..

Nilishaona experiment moja ilifanywa na jamaa mmoja aliyejidai mlemavu (kipovu) akiwa na briefcase yenye dola fake,alijiadai briefcase imefunguka na kumwaga pesa, hivyo waafrika walionekana wakilokote pesa na kukimbia ila wazungu walilokota pesa na kumsaidia kurudishia ndani.

Hivyo tabia ya wizi ni ya mwovu shetani,kabila ambalo ni waizi wanakaribia kufanana na shetani..case closed
 
Nigerians na kenyans ni kama Watanzania, wacongo na waafrika kwa ujumla uaminifu ni changamoto kubwa angalia na tafiti usije kupigwa ukabaki unalia kama kinanda
Huwa mzaramo anasema mwanakulitafuta mwanakulipata🏃🏃
 
Back
Top Bottom