Namtafuta raia wa Kenya wa kufanya naye biashara

Cheki na MK254 japo nadhani ni tapeli ila we najua ni born town utamu handle

Hakuna mtu wa Arusha anayeweza kuja kutafuta Wakenya kwenye mitandao, maana pale Arusha ni kama Kenya, tuna undugu fulani nao, wana muamko fulani hivi watu wa Arusha, tunapiga biashara nao kila siku, mamia ya Wakenya wanakatiza pale kwenye mishe zao siku zote, vile vile Nairobi imejaa watu wa Arusha.
Kwa hivyo Mtanzania wa Arusha hawezi kupita hata siku moja hajakutana na Mkenya hapo Arusha.
 
Uko sahihi 100%
 
Sikia wewe,yaani wewe ni nani mpaka uweze kusema hakuna mtu wa Arusha anaweza kumtafuta mtu mtandaoni,wewe una mamlaka gani wa kujua mawazo ya watu wote wa Arusha,eti hakuna mtu wa Arusha,wewe umekuwa Mungu ujue mawazo yote ya watu wa Arusha.

Acha kujenga hoja za kisiasa zilizopitwa na wakati,Wewe unanijua mimi asili yangu na ubini wangu..au unaongea tu kwasababu ni rahisi kuandika kwenye mtandao baada ya kunywa chai ya rangi na vitumbua?

Eti hakuna mtu wa Arusha kwa hiyo mawazo ya watu wa Arusha yanapitia kwako kwanza?

Waswahili bhna😆😆
 
Naona una hamu ya kulia. Mkenya hajawahi kumuacha mtu salama. Njoo Arusha sisi tulioko border ndio tunawajua Hawa jamaa. Lazima uachiwe manyoya.
 
Hapo vip!!

Hapo vip!!

Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha, ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka.

Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria...niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
Yani Mkenya atakupiga kama ngoma.
 
Naona una hamu ya kulia. Mkenya hajawahi kumuacha mtu salama. Njoo Arusha sisi tulioko border ndio tunawajua Hawa jamaa. Lazima uachiwe manyoya.

Ukiwa zuzu utapigwa tu na yeyote na sio lazima iwe Mkenya, utapigwa popote, dunia ya leo kuwa muangalifu haijalishi nani unayefanya dili naye, tanguliza umakini, kaa mkao wa kujua kila mmoja ni mpigaji inategemea umakini wako.
 
Sikia wewe,yaani wewe ni nani mpaka uweze kusema hakuna mtu wa Arusha anaweza kumtafuta mtu mtandaoni,wewe una mamlaka gani wa kujua mawazo ya watu wote wa Arusha,eti hakuna mtu wa Arusha,wewe umekuwa Mungu ujue mawazo yote ya watu wa Arusha.

Acha kujenga hoja za kisiasa zilizopitwa na wakati,Wewe unanijua mimi asili yangu na ubini wangu..au unaongea tu kwasababu ni rahisi kuandika kwenye mtandao baada ya kunywa chai ya rangi na vitumbua?

Eti hakuna mtu wa Arusha kwa hiyo mawazo ya watu wa Arusha yanapitia kwako kwanza?

Waswahili bhna[emoji38][emoji38]

Arusha na Moshi wakenya wengi tu hili nalo unabisha? Haya mtafute mtu anayeitwa Abubakari mnunuzi wa madini ni mwarabu maarufu hapo Arusha nenda asubuhi ofisini kwake utakutana na wakenya kibao, hata ukienda mang’ola gorofani na gerezani utawakuta wakenya wananunua vitunguu vya kupeleka sudan ukitegemea upate connection ya biashara hapa JF wewe bado hujawa mfanyabiashara, kama ni issue za magari nenda garage za Arusha wana conection na maduka ya spare mengi ya Kenya watakupa muongozo
 
Arusha na Namanga karibu nenda Namanga anza kufanya utafiti wako jenga connection zako ukitegemea umekaa umeweka bundle unajamba ndio upate connection makini hapa bado una safari ndefu sana
 
Tajiri Tanzanite hata mererani kwa wamasai kuna wakenya wananunua tanzanite za magendo watafute mbona wengi tu
 
Back
Top Bottom