Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Utapigwa kama NgomaHapo vip!!
Hapo vip!!
Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha,ila napenda sana nikumpata Mkenye ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka..
Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria..niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
Kule kuna matapeli wengi,kuwa makiniIngia Instagram kwenye business page za wakenya au Nigerians watakupatia muongozo.
Kule kuna matapeli wengi,kuwa makini
Saizi kule kuna njaa kali ukiacha sufuria la ugali nje unakuta wachaga wameibaPunguza Ushamba wako wa huko kishimundu,na ukabila wa kishamba mlionayo huko.
🙊Saizi kule kuna njaa kali ukiacha sufuria la ugali nje unakuta wachaga wameib
Sehemu nzuri za kuwapata si hapa. Kwa Wanaigeria Nenda naira land na wakenya Nenda misterseed, Tuko. Ukifanikiwa tupe mrejesho.Hapo vip!!
Hapo vip!!
Mimi ni mfanyabiashara na napatikana Arusha,ila napenda sana nikimpata Mkenya ambaye yupo tayari kufanya biashara nje ya mipaka..
Napenda kufanya biashara na wakenya au Wanaigeria..niwatu ambao naona naweza kufanya nao kazi kwenye biashara.
Tumbo halikai na mjingaSaizi kule kuna njaa kali ukiacha sufuria la ugali nje unakuta wachaga wameiba
Tembelea The Hub siku moja moja, sio Lazima unywe pombe
Tuambie Kwanza weye Mkenya au Mnaigeria😄Hapo vip!!
Hapo vip...
Eti kuiba ujanja wakati kwa wazungu mwizi ni anafananishwa na shetani na mtu mpumbavu na mjinga aliyeshindwa kutafuta kwa akili zake na nguvu zake..nchi zenye jamii ya kistaraabu hata pesa zako ukidodosha utatafutwa na kupewa..Tumbo halikai na mjinga
Mtoto asiyelala na fweza yupo kundi gani😄Eti kuiba ujanja wakati kwa wazungu mwizi ni anafananishwa na shetani na mtu mpumbavu na mjinga aliyeshindwa kutafuta kwa akili zake na nguvu zake..nchi zenye jamii ya kistaraabu hata pesa zako ukidodosha utatafutwa na kupewa...
Jamaa anakutahadharisha. [emoji1][emoji1]Niwe makini mimi au wewe?
Au umesahau wewe ndiyo unawatafuta hao watu wako?
Kila ovu mchagaEti kuiba ujanja wakati kwa wazungu mwizi ni anafananishwa na shetani na mtu mpumbavu na mjinga aliyeshindwa kutafuta kwa akili zake na nguvu zake..nchi zenye jamii ya kistaraabu hata pesa zako ukidodosha utatafutwa na kupewa...
Huwa mzaramo anasema mwanakulitafuta mwanakulipata🏃🏃Nigerians na kenyans ni kama Watanzania, wacongo na waafrika kwa ujumla uaminifu ni changamoto kubwa angalia na tafiti usije kupigwa ukabaki unalia kama kinanda