Namtafuta sana anayewadanganya Mashabiki wa Simba SC kuwa Kaizer Chiefs FC ni 'wepesi' na 'utopolo' mno kama walivyo Yanga SC

Huyu bwana ni mchawi kila k2 akisema si cha kupuuzwa ana details nyingi kiukwel namkubali sana GENTAMYCINE mnoo Sema sijui ndio waga anakua @Generalist muda mwingine hawa watu wanatuchanganya ila kiukwel we jamaa kokote ulipo unakipaji kikubwa mnooo
 
Huyu bwana ni mchawi kila k2 akisema si cha kupuuzwa ana details nyingi kiukwel namkubali sana GENTAMYCINE mnoo Sema sijui ndio waga anakua @Generalist muda mwingine hawa watu wanatuchanganya ila kiukwel we jamaa kokote ulipo unakipaji kikubwa mnooo
Asante sana na Shukran mno Mkuu wangu na Pongezi zako nimezipokea na kunitia Moyo zaidi hadi Kunifariji pia japo wa Kumshukuru hasa ni Mungu.

Kuhusu Mimi kuwa na Kipaji kama usemavyo ndiyo maana nikawa " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " nilivyo Mkuu.
 
Akiandika mnaishia kumwita popoma, mkipigwa ndio mnajifanya mnaheshimu michango yako humu, wakati hua kwenye vipindi vyenu mnambeza hasa mnapochambua mnajifanya mashabiki wanasema hivi kumbe mmechota maada yake huku jeiefu,
 
Akiandika mnaishia kumwita popoma, mkipigwa ndio mnajifanya mnaheshimu michango yako humu, wakati hua kwenye vipindi vyenu mnambeza hasa mnapochambua mnajifanya mashabiki wanasema hivi kumbe mmechota maada yake huku jeiefu,
Umemaliza kila Kitu Mkuu na Asante. 95% ya Walionipongeza hapa ni Wanafiki watupu na tena Wananichukia nashangaa leo ( sasa ) wanaanza Kunielewa.

Kuhusu Chambuzi zangu Kuchukuliwa na Kuzungumzwa na kuwekwa Mitandaoni Kwao huko ( katika Blogs na Websites ) nalijua na huwa nafarijika na sichukii kwani najua nina nini ambacho Mwenyezi Mungu amenibariki nacho.

Signature yangu isemayo " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " imebeba 100% ya Uhalisia wangu mzima GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE hivyo nafurahi na kuendelea Kumsifu na Kumshukuru vilivyo Baba Muumba Mwenyezi Mungu.
 
Genta ana marafiki wachache sana JF. Na sababu kubwa ni kwamba watu wengi hawataki kuambiwa ukweli. Genta ni mkweli na si mnafiki kama walivyo hao marafiki zake na ndo maana anaelewana nao na huwezi kukuta anakoseana nao heshima. Tatizo la wengi humu hawawezi kuangalia mpira katika angle ya ufundi. Wanaangalia mpira kishabiki zaidi. Ukisoma komenti za wanasimba wengi kabla ya saa 1.00 jana jioni utaona maneno ya majigambo tupu. Tatu bila, hakuna wakumkaba Miqueson, Chama atawaua mapema, Morrison anawafahamu vizuri....! Yaani utadhani Kaizer wamefungwa miguu ili Simba wacheze watakavyo.
Lakini ukiangalia kiundani maneno ya Genta ndiyo ukweli halisi kuhusu timu ya Simba. Mbali ya shida ya beki za pembeni, lakini kati ni pabovu kuliko hata huko pembeni. Lakini ukimwambia hivyo mwanaSIMBA utaoga matusi. Simba kufanya vizuri sana ndani si sababu ya kuwadharau anaokutana nao nje. Simba kufanya vizuri hatua ya makundi si sababu ya kuwadharau anaokutana nao mtoano. Wengine walianza kuweka idadi ya point alizopata Simba makundi na kuwa wa pili kwa timu zote quarter finalists. Hivi hii nayo ni sababu ya kukufanya uwadharau wengine?
Timu zetu zinabweteka mno na mafanikio madogo, yaani wakipata kidogo utawasikia tu tambo zao kama ndo wameiteka Afrika na bado kidogo waichukue Dunia.
Tunapenda sana timu zetu zifike mbali lakini mashabiki na viongozi tunawapotosha mno wachezaji. Ni vizuri kujenga mentality ya ushindi lakini kudharau mpinzani si tabia ya ushindi.
HONGERA GENTA KWA KUWA MKWELI DAIMA.
 
Hukuwa Rafiki yangu mkubwa hapa JamiiForums kwa bahati mbaya Mkuu bali una Uwezo mkubwa wa Akili, Kuchambua mambo ( Masuala ) na Uelewa mpana.

Nakukubali pengine hata kuliko unavyojua na huwa najifunza mengine pia kutoka Kwako ili Akili yangu nami iwe Kubwa kama yako Bila bila.
 
Watanzania huwa hatupendi kuambiwa ukweli, hongera sana kumbe kuna mashabiki wa mikia wanaakili nzuri tu,sasa nitaacha kuwaunganisha wote Kuwaita lile jina la Rage.......

Pia kilichowaponza ni kukosa match fitness, mnakimbia mechi za ligi na kwenda eti kujiandaa kwa kupanga koni......maandalizi ya match ni pamoja na kucheza competitive games
 
Wewe si ndio unaleta story kuwa ili timu ishinde inabidi wafanye vitu fulani kwa maagizo ya waganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…