Inatokea sana tu!upo kazini almost 10hours hujaingia hata jf tu kupitapita[emoji1] [emoji1] [emoji1] ukiona tumo humu jua ubusy umepunguaDefinitely. mida mingine automatic tu unajikuta hujaishika hahahahaha hap
Kabisaa..!!upo sahihi haswaa!labda uwe na stress au mna maugomvi yenu hukoo ndo utaingia ila mko vzri kabisaa!nakaa hata wiki aisee bila hzo mambo!
Kugongana kupo ila Mimi hata tukigombana silali chini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] nalala hapo hapo na usiku nakuwekea guuTihtihtih .. mulemuleeee wewe jamani dahhhhhhhhhh.!!!. ndoivo shougar si unajua wanasema hata vikombe kabatini havikosi kugongana. sometimes it happens ila automatic pia mnajikuta eti mnacheka mlipatana lini na sangapi..!! who knows khakhaa!!
cc Smart911
Kabisaa!wengine wameolewa mume anakeep busy jamani!!haswaa akiwa hataki uwe kwenye social media,mtoto ndo usiseme
tehteh.. shoga niache basiii doh.. napaliwa na chai huku mwenzio.. sikupatii picha hayo madoido ya watu walionuniana ila wamelala kitanda kimoja Yani sipati pichaaaa.. wanajishauaga tu they are so weak when it comes to hizo mamboKugongana kupo ila Mimi hata tukigombana silali chini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] nalala hapo hapo na usiku nakuwekea guu
Hahaaa...tumegombana sisi sio vikojoleo vyetu!!vyenyewe viko okay[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!!!tehteh.. shoga niache basiii doh.. napaliwa na chai huku mwenzio.. sikupatii picha hayo madoido ya watu walionuniana ila wamelala kitanda kimoja Yani sipati pichaaaa.. wanajishauaga tu they are so weak when it comes to hizo mambo
cc Smart911
Hahaaa...tumegombana sisi sio vikojoleo vyetu!!vyenyewe viko okay[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukibomoa miye ntaziba ufa usijalikhakhakhaaaaaaa.. mdomo wangu umebaki wazi haha.. usinikumbushe besti nimejikuta nakumbuka statement yake moja hivi anaipenda sana.....Ila rainav jamani nipo kusaka tonge ujue unaona umeanza kunikumbusha manini sijui unaonaaa??! Ntabomoa taifa huku khakhakhaaaaaaa mitandao hii jamani jamani
cc Smart911
Mama usipate tabu ya kunitafuta sana ni mimi hapa niko na I'd tatu... Siku hizi natumia sana hii njoo Pm tuzungumze.The Boss where are you? Mwenye kujua alipo, please!
wengi tupo ila tunapita na kusoma comment za vijana wanaochipukia.Wengi wako ktk magroup ya WhatsApp ,huku km wapo kwa ID nyingine au hawapo kbs ,ID kongwe tupo wachache, damu changa ndio wakati wao huuu
Hahaha, ni kweli Mkuu, ila ndio hivyo kizazi kipyawengi tupo ila tunapita na kusoma comment za vijana wanaochipukia.
siku hz jf imechuja sio kama zaman