Namtafuta The Boss

Namtafuta The Boss

Kabisaa..!!upo sahihi haswaa!labda uwe na stress au mna maugomvi yenu hukoo ndo utaingia ila mko vzri kabisaa!nakaa hata wiki aisee bila hzo mambo!

Tihtihtih .. mulemuleeee wewe jamani dahhhhhhhhhh.!!!. ndoivo shougar si unajua wanasema hata vikombe kabatini havikosi kugongana. sometimes it happens ila automatic pia mnajikuta eti mnacheka mlipatana lini na sangapi..!! who knows khakhaa!!

cc Smart911
 
Kugongana kupo ila Mimi hata tukigombana silali chini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] nalala hapo hapo na usiku nakuwekea guu
 
Kabisaa!wengine wameolewa mume anakeep busy jamani!!haswaa akiwa hataki uwe kwenye social media,mtoto ndo usiseme

khakhaakha eti mtu akuje hom toka kazini nawewe upo tu bize mitandaoni khakhakhaaaaaaa.... mhudumie kwanza wanaume wenyewe wachache hahaha nacheka kama mazuri vileeee dohh.. ngoja nikimbie kabla Smart911 hajanikamata mida ya kazi hii teh
 
Kugongana kupo ila Mimi hata tukigombana silali chini[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] nalala hapo hapo na usiku nakuwekea guu
tehteh.. shoga niache basiii doh.. napaliwa na chai huku mwenzio.. sikupatii picha hayo madoido ya watu walionuniana ila wamelala kitanda kimoja Yani sipati pichaaaa.. wanajishauaga tu they are so weak when it comes to hizo mambo

Hahaaa...tumegombana sisi sio vikojoleo vyetu!!vyenyewe viko okay[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!!!
 
Mimi namtafuta mchepuko wangu FaizaFoxy mwenye taarifa zake afikishe salam zangu mwambie bado ile harufu ya udi wake haijasha chumbani
 
Hahaaa...tumegombana sisi sio vikojoleo vyetu!!vyenyewe viko okay[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]!!!

khakhakhaaaaaaa.. mdomo wangu umebaki wazi haha.. usinikumbushe besti nimejikuta nakumbuka statement yake moja hivi anaipenda sana.....Ila rainav jamani nipo kusaka tonge ujue unaona umeanza kunikumbusha manini sijui unaonaaa??! Ntabomoa taifa huku khakhakhaaaaaaa mitandao hii jamani jamani

cc Smart911
 
Last edited by a moderator:

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukibomoa miye ntaziba ufa usijali
 
Wengi wako ktk magroup ya WhatsApp ,huku km wapo kwa ID nyingine au hawapo kbs ,ID kongwe tupo wachache, damu changa ndio wakati wao huuu
wengi tupo ila tunapita na kusoma comment za vijana wanaochipukia.
siku hz jf imechuja sio kama zaman
 
khakhaakha eti mtu akuje hom toka kazini nawewe upo tu bize mitandaoni khakhakhaaaaaaa.... mhudumie kwanza wanaume wenyewe wachache hahaha nacheka kama mazuri vileeee dohh.. ngoja nikimbie kabla Smart911 hajanikamata mida ya kazi hii teh

You can run but you can't hide mahondaw wangu...
 
THE BOSS yupo lupango na NIFAH wake, walikuwa n verified users hapa (yaan wanatambulika, etc) basi wakawa na mgogoro na Jamii Media, yaani post zao zilikuwa zinapotezwa juu kwa juu..kwahyo kuna uzi wakaaga wote kwa pamoja..kumbe walikuwa wanafuatiliwa na team lumumba walioko humu ambao kazi yao ni kuchabo nani anamsnitch mkulu.
 
Back
Top Bottom