Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
4,824
Reaction score
5,587
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
 
Back
Top Bottom