Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

😅

kwa kupitia mtandao wa jamii, JF of all places?

ama umetupia hata FB na IG? Ungeweka na picha bana (mambo ya mbuzi kwenye gunia hatutaki) huenda ankali wangu angekucheki!

alafu kingine, usiweke dini kama sifa, maana siku hizi ni maigizo tu! kuna vibinti vya kikristo na kiislamu mambo yao huko mtaani unawezajiuliza wameingiaje kwenye dini!
 
Kuna ambao hawana time na hayo mambo unaweza kuhangaika bure tu , kuna mmoja namjua tena Phd holder na juzi mama kamkumbuka na cheo kampa , lakini kwenye sekta hiyo mhhh, hatujawahi hata kuona jamaa wanamsogelea sijui wanakua wajuaji sana ama nini, mtu akiamua kuishi maisha yake muacheni tu usije kupoteza muda wako kuhangaika na watu wa type za kina mzee mdee bure
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Is this offer still available?🙁🙁🙁
 
muajiliwa serikali

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek

Tajirimsomi wewe ni tajiri wa moyo.... una upendo sanaaa
Naomba unikaribishe kwenye ukoo uwe kaka yangu kwa kweli
 
Mimi niko tayari tuonane in Box Bila Masharti ila kwakweli tupime Ukimwi wote na mie naahidi nitakuheshimu ila awe tayari kusafiri nje. hata kam ni wewe hkn shida!! kikubwa kuheshimiana tu km umeridhia nione in box.
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
nitafute pm tuweke sawa
 
Kha...huyo boti la kuzaa lilishamuacha. Sasa azae mtoto akiwa na miaka 41 kweli. Mbona mnataka kumtesa tuu huyo mtoto
Kuwa na busara huwezi kutoa maoni kama hayo . Mwenzio yupo katika shida mpe matumaini mbona watu wanazaa katika umri hata 45 na wanalea watoto kama kawaida?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom