Diss Meddy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 590
- 1,291
Kwani bado hajapatikana tuu mpaka leo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naupendo pia ili aweze kufarijika zaidiyah ndo icho natafuta
Spam haina soko.njoo dm tuyajenge spam donor tupo
Dah pole Sanaamina sana nimeona acha nilibebe kwa usiri furaha yake apate mtoto
Unakula kwa mchungaji?Ushauri wa bure nenda eagt city center kwa mchungaji florian katunzi njia ya mbagala kwenye ibada kila ibada pale ni maombezi anza na hapo kwanza kuna mtu mdada nilinpeleka hapo tatizo kma hilo akafunguliwa wanadamu wanamambo huenda wamekufunga mahali maombi ni buure pale nauli yako tu kufika kanisani Trust me utapata njia pale....
Wadogo hawafi? Au huko kwenu hakuna watu wanaokufa wakiwa na miaka 20Ndio biologicaly anaweza ila sasa huyo mtoto atacheza nae vipi? Alafu ujue hana mkataba na muumba...akidedi kabla ya 50 je?
Probability dear probabilityWadogo hawafi? Au huko kwenu hakuna watu wanaokufa wakiwa na miaka 20
Unaipata kwenye Play store sio amaTupe histora yake ya mahusiano. Ya kimapenzi. imekuaje hadi amefikia hapo hajaolewa wala kupata mtoto?
Muunge na serious Dating sites/App... !
Ndio mkuuUnaipata kwenye Play store sio ama