Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

Mkuu Tajirimsomi wewe hii ya upweke umeshapata suluhu?

habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Huyu mume aweje?.au ndo yale yale ili mradi anapumua??.
 
Mkuu kwahy unataka kutuambia yy hana mwanaume kabisa wa kumchakata au hajawai kuchakatwa kabisa maana kama anachakatwa na uzazi upo fresh angekua amesha zaa au kalelewa usipite hapa kuna mbwa wakal
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Mbona heading Kama inamakosa na ulichokieleza hapo chini!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom