Namtamani nikiwa na hamu naye lakini baada ya hapo namchukia

Jibu ni moja tu. Humpendi hata kidogo. Na usilogwe ukafunga naye ndoa maana nyumba itakuwa haikaliki. Mimi ni mwanaume na najua wanaume wengi tupo hivyo. Ukiwa na hamu unahaha hata mwenye sura ya kiboko utamwita beauty. Lakini ukishafanya jambo lako hutaki hata kufuatana naye.
 
Ila udugu umenistua mnoo.
Kwahiyo ndoa hatuna? Em fanya mambo yawe mepesi.

Au tuma picha yake hapa tuweze kujua shida ni gani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndoa hatuna udugu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Hapo kwenye picha HAPANA ni mtu anayejiheshimu na humu najua yupo..!
 
Bila shaka uyo jamaa ni nice guy, ukiondoa sex hana hamsha hamsha zingine mfano kupata taarifa za michepuko yake au ule udikteta fulani hivi wa kiume.

Kama unaona hashtui hisia zako achana nae kuliko kumpa matumaini hewa, ila zingatio tu utakuja kumkumbuka badae ukiwa hauna soko tena kwenye dating pool. Make your decision wisely, time is very cruel to women.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ