Namtesa sana uyu mwanamke sijui nimfanyaje

Namtesa sana uyu mwanamke sijui nimfanyaje

Habari wana jukwaa LA mapenzi mubashara,in nature Mimi ni mwanaume mpole sana mwenye aiba na sio muongeaji sana,


Sasa hapa mtaani kuna Demu naona anapata shida sana
1:Akiniona tu ataniangalia kwa tabasamu hadi nazama
2:Nikipita tu ataniomba anisindikize ninapo kwenda
3:Akiwa ana kitu nikipita ataniomba nimsaidie hata kma kidogo
4:nikishika kitu nakula ataniomba tu
5;Nikipita karibu yake atafanya chochote nimuangalie hata kunigusa
6:Nikishika kitu atakirukia tu nimuachie
7:ananiangalia hadi wenzake wanamshitua
8:Anapenda kuniomba vitu
Kusema ukweli namuona kabisa ana teseka juu yangu na uyu sio mwanamke wa kwanza kunifanyia mambo aya
Mambo ya kawaida hayo acha ushamba dogo
 
"Niachie mwanangu nitamlea mwe'nyeiiiiwe"
Haya mwanangu kakua kawa na urafiki na tunda zuri
 
Back
Top Bottom