mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
nna jamaa yangu mmoja yupo huko anazitafuna sana aisee😂UVCCM
ana sura ngumu lakini wapi😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nna jamaa yangu mmoja yupo huko anazitafuna sana aisee😂UVCCM
Nasema nimengaka akaolewe na kina baba levo
nna jamaa yangu mmoja yupo huko anazitafuna sana aisee[emoji23]
ana sura ngumu lakini wapi[emoji23]
Mimi mwanamke tu akiwa anajihusisha na siasa, siwezi oa.Mkuu huwezi oa mtu msiefanana falsafa .dini.itikadi huko ni kutafuta balaa akaolewe na Steve nyerere
🤣🤣🤣🤣ðŸ¤Usitupotezee baharia plizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣Siwez leo wasaliti najitoa
Ruhusu ndoa iendelee achana na mambo ya vyamaHabari waungwana!
Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane .
Hapa leo siku ya pili sipokei simu yake sitaki hata kumuona shetani mkubwa huyu.
Safi sana. Nchi inajengwa na wahafidhina wazalendo, piga chini huyo akaolewe na makatibu waenezi uvccm hukoHabari waungwana!
Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane .
Vigezo alivonivutia
u.
Kosa kubwa kwa sheria/katiba ipi?Kunakosa kubwa kama ku CCM?
Kuna watu wawili tu duniani ambao ata utumie nini kuwaelewesha jua unatwanga maji kwenye kinuUlitakiwa kumkinaisha kwa hoja, sio kumkimbia physically. Hakuna mtu anaejielewa ambae mutakuwa na idea sawa katika kila issue.
Exactly, vyama ni kama timu za mpira tu.Nakushaurj angalia kama unapata furaha na upendo na mna pendana hayo mambo ya chama chukulia kma nikukubaliana mambo ambayo hamkubaliani
Hamuwezi kukubaliana kila jambo unless otherwise muo mnautindio wa akili