Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Makande yaliyochacha yameanza kukuvuruga tumbo [emoji23]Ukwel gani toka kwa kidada cha Facebook. Ulewa uko lione kubwa kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makande yaliyochacha yameanza kukuvuruga tumbo [emoji23]Ukwel gani toka kwa kidada cha Facebook. Ulewa uko lione kubwa kwel
Mmmmmhhhhhhh kwa USHABIKI huu ni bora ukamwacha binti wa watu....Habari waungwana!
Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane .
Vigezo alivonivutia
1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo hata kama kitamuharibia yy,mfano nlitonywa kuna mwamba ambae ni mtu mbad shule ya jirani yuko naye ,kumuuliza sio tu alikubali bali alinifungulia chat zao zote ,mpaka mwamba kuniponda sana kuwa nakula hadi ambiance ,nikaamua kuwa muwazi pia nkamwambia ukweli mm sifai ila naomba nipime.
2.Nikaanza mtambulisha kwa washikaji na ndugu kwa kweli kwenda kwa dadangu mkubwa (ndo kanilea ) alijipatia baraka hadi dada akangangania alale pale mm nisepe
3.Kukomaa na kupima ngwengwe (hapa nusu nitoke nduki ila nimetoboa) mtoto namzidi 7 yrs maana ana 27 ila kiwango cha maturity hadi naogopa kabisaa,ameshanishauri sana hadi biashara zangu ashaenda hadi duka langu moro na kukagua akakuta madudu kibao .
4.Kitandani ni tatizo kuu la kimkakati mtoto anamwaga miuno kama yondo sister ,alikuwa hajawahi fika mitaa ya katelelo pale bukoba nimempeleka kachanganyikiwa
KASORO KUU NA KUU SANA
Muda wote huu nilikuwa nashukuru muumba nimekumbukwa mpaka nkaacha kwenda maeneo ya kihuni ,siku moja akaniambia nimpitie karimjee wanamkutano na wenzie tuende lala kwake .LOOOOHH nusu nizimie ,kumbe sikujua dada ni mwnachama wa ChiChieMu ,Si katoka na majezi yao ya kijani ile midela na kikundi cha wenzie wakiimba '' ....mbele kwa mbeleeee'' nilimchukua hadi hoteli ya karibu na kumuuliza swali moja tuu '' NINI MSIMAMO WAKO JUU YA ISHU YA BANDARI '' Asee aliitetea balaa hajui muda huo nilikuwa nikishukuru muumba kwa kuniondolea huu msiba.
Hapa leo siku ya pili sipokei simu yake sitaki hata kumuona shetani mkubwa huyu.
Hebu kuwa mzalendo we mwanamke eboo.nyerere angewaza kama ww ungekuwa unalipia hiyo hewa.komment hii meandika kwa kukalipia huku mate yanarukaMmmmmhhhhhhh kwa USHABIKI huu ni bora ukamwacha binti wa watu....
Anayekwambia MKATABA WA BANDARI MBOVU akiingia Ikulu NAYE atafanya ya kwake....
Wewe unataka kujenga familia yako au unataka kujenga familia ya TAIFA???
Kama ni mtu sahihi OA!!! Upate mke...
Mzee wanawake wenye akili na nidhamu ni WA kumulika na tochi...acha siasa kwenye mapenzi. Kama anakuheshimu na ana akili oaaaaHabari waungwana!
Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane .
Vigezo alivonivutia
1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo hata kama kitamuharibia yy,mfano nlitonywa kuna mwamba ambae ni mtu mbad shule ya jirani yuko naye ,kumuuliza sio tu alikubali bali alinifungulia chat zao zote ,mpaka mwamba kuniponda sana kuwa nakula hadi ambiance ,nikaamua kuwa muwazi pia nkamwambia ukweli mm sifai ila naomba nipime.
2.Nikaanza mtambulisha kwa washikaji na ndugu kwa kweli kwenda kwa dadangu mkubwa (ndo kanilea ) alijipatia baraka hadi dada akangangania alale pale mm nisepe
3.Kukomaa na kupima ngwengwe (hapa nusu nitoke nduki ila nimetoboa) mtoto namzidi 7 yrs maana ana 27 ila kiwango cha maturity hadi naogopa kabisaa,ameshanishauri sana hadi biashara zangu ashaenda hadi duka langu moro na kukagua akakuta madudu kibao .
4.Kitandani ni tatizo kuu la kimkakati mtoto anamwaga miuno kama yondo sister ,alikuwa hajawahi fika mitaa ya katelelo pale bukoba nimempeleka kachanganyikiwa
KASORO KUU NA KUU SANA
Muda wote huu nilikuwa nashukuru muumba nimekumbukwa mpaka nkaacha kwenda maeneo ya kihuni ,siku moja akaniambia nimpitie karimjee wanamkutano na wenzie tuende lala kwake .LOOOOHH nusu nizimie ,kumbe sikujua dada ni mwnachama wa ChiChieMu ,Si katoka na majezi yao ya kijani ile midela na kikundi cha wenzie wakiimba '' ....mbele kwa mbeleeee'' nilimchukua hadi hoteli ya karibu na kumuuliza swali moja tuu '' NINI MSIMAMO WAKO JUU YA ISHU YA BANDARI '' Asee aliitetea balaa hajui muda huo nilikuwa nikishukuru muumba kwa kuniondolea huu msiba.
Hapa leo siku ya pili sipokei simu yake sitaki hata kumuona shetani mkubwa huyu.
Hili bwege....acha achelewe...[emoji1787][emoji1787]Ww ni mjinga miongoni mwa wajinga hpa duniani
Sasa mapenzi na ishu ya bandari wapi na wapi ww
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]waovu wamevurugwaUVCCM ni hataree nina sisy angu kuna cheo aligombea, kuna mtu mjinga mmoja tu anataka papa haelewi kitu, hata rushwa ya pesa hataki yeye kakomalia papa tu!!!!!
Nikiona mdada ana nafasi flani chamani ujue kuna boya kajilia kei [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
OA chombo hiyo
.....Habari waungwana!
Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane .
Vigezo alivonivutia
1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo hata kama kitamuharibia yy,mfano nlitonywa kuna mwamba ambae ni mtu mbad shule ya jirani yuko naye ,kumuuliza sio tu alikubali bali alinifungulia chat zao zote ,mpaka mwamba kuniponda sana kuwa nakula hadi ambiance ,nikaamua kuwa muwazi pia nkamwambia ukweli mm sifai ila naomba nipime.
2.Nikaanza mtambulisha kwa washikaji na ndugu kwa kweli kwenda kwa dadangu mkubwa (ndo kanilea ) alijipatia baraka hadi dada akangangania alale pale mm nisepe
3.Kukomaa na kupima ngwengwe (hapa nusu nitoke nduki ila nimetoboa) mtoto namzidi 7 yrs maana ana 27 ila kiwango cha maturity hadi naogopa kabisaa,ameshanishauri sana hadi biashara zangu ashaenda hadi duka langu moro na kukagua akakuta madudu kibao .
4.Kitandani ni tatizo kuu la kimkakati mtoto anamwaga miuno kama yondo sister ,alikuwa hajawahi fika mitaa ya katelelo pale bukoba nimempeleka kachanganyikiwa
KASORO KUU NA KUU SANA
Muda wote huu nilikuwa nashukuru muumba nimekumbukwa mpaka nkaacha kwenda maeneo ya kihuni ,siku moja akaniambia nimpitie karimjee wanamkutano na wenzie tuende lala kwake .LOOOOHH nusu nizimie ,kumbe sikujua dada ni mwnachama wa ChiChieMu ,Si katoka na majezi yao ya kijani ile midela na kikundi cha wenzie wakiimba '' ....mbele kwa mbeleeee'' nilimchukua hadi hoteli ya karibu na kumuuliza swali moja tuu '' NINI MSIMAMO WAKO JUU YA ISHU YA BANDARI '' Asee aliitetea balaa hajui muda huo nilikuwa nikishukuru muumba kwa kuniondolea huu msiba.
Hapa leo siku ya pili sipokei simu yake sitaki hata kumuona shetani mkubwa huyu.
Nipe number yake nimuoe kwa kuwa mawazo kuhusu bandari tunafanaSiwez leo wasaliti najitoa
Kuna sehemu walikuwa wanabishana Darlin ni mwanaume nikawa nakuteteaNlidhani nishasikia yote
Embu toa namba zake tuone kwanini anakubali bandari wapewe waarabu