Usiwe mwoga wewe kumzimia mtu si kosa la jinai. Ukitamani wanawake kumi ukapata wawili ni mafanikio makubwa sana!Mkuu Niandalie Chumba Hapo Keko Hunitakii Mema.
Taarifa za habari tunafuatilia mengi. Usidhami ni habari tu. Akisoma Charles Hillary pale Azam two mtu anapoteza. Akiingia Ivona mmmhAisee! Mi nkajua utendaji kazi kuumbe malavi davi loh!
Usingo Na umeredi unamhusu nini. Achangamkie tenda tu. Nishasema kila mwanamke miaka 15 Na zaidi ni Mke wa mtu. Tunany'anyana tuYaelekea unamzimia sana huyo mama. Fanya utafiti kama yupo single jitose bila ajizi.
Huyu mama azielekeze mamlaka zilizo chini yake ziimulike menejimenti ya hospitali ya wilaya ya Lindi(Kinyonga) kwani leo mpaka saa tano asubuhi madaktari wote walikua kwenye kikao na kuwaacha wagonjwa kwenye sintofahamu na usumbufu mkubwa.Maabara wanazungukatu hawatoi majibu na mtu akiwa na mgonjwa aliyepungukiwa damu anaambiwa aje saa nane mchana.Pia hawaandiki namba za simu za madaktari wa zamu na sanduku la maoni kufuli limeshika kutuHuyu Mama Sijui Ameolewa? Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.
Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha Maana Nikiendelea Kumsifia Naweza Nikavuka Mipaka NA Nikaleta Madhara...
Nilijua ni mimi pekee nahangaika kwa huyu waziri kumbe tuko wengi. Kwa kweli binafsi sijui niseme nini ila huyu mama mimi ananimaliza sana kwa kila kitu Ummy Mwalimu unanikosha sana[emoji8] [emoji7]Huyu Mama Sijui Ameolewa? Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.
Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha Maana Nikiendelea Kumsifia Naweza Nikavuka Mipaka NA Nikaleta Madhara...
Huyu Mama Sijui Ameolewa? Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.
Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha Maana Nikiendelea Kumsifia Naweza Nikavuka Mipaka NA Nikaleta Madhara...
Mgeuze nyuma tumuone alivyo!
Naona kuna pete ya ndoa
Haaa haaaaa...namngoja ageuke!!Mgeuze nyuma tumuone alivyo!