Namuelewa sana Waziri wa Afya

Namuelewa sana Waziri wa Afya

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Huyu Mama Sijui Ameolewa?

Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.

Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha Maana Nikiendelea Kumsifia Naweza Nikavuka Mipaka Na Nikaleta Madhara...
 
Huyu Mama Sijui Ameolewa? Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.
Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha Maana Nikiendelea Kumsifia Naweza Nikavuka Mipaka NA Nikaleta Madhara...
Huyu mama azielekeze mamlaka zilizo chini yake ziimulike menejimenti ya hospitali ya wilaya ya Lindi(Kinyonga) kwani leo mpaka saa tano asubuhi madaktari wote walikua kwenye kikao na kuwaacha wagonjwa kwenye sintofahamu na usumbufu mkubwa.Maabara wanazungukatu hawatoi majibu na mtu akiwa na mgonjwa aliyepungukiwa damu anaambiwa aje saa nane mchana.Pia hawaandiki namba za simu za madaktari wa zamu na sanduku la maoni kufuli limeshika kutu
 
Huyu Mama Sijui Ameolewa? Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.
Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha Maana Nikiendelea Kumsifia Naweza Nikavuka Mipaka NA Nikaleta Madhara...
Nilijua ni mimi pekee nahangaika kwa huyu waziri kumbe tuko wengi. Kwa kweli binafsi sijui niseme nini ila huyu mama mimi ananimaliza sana kwa kila kitu Ummy Mwalimu unanikosha sana[emoji8] [emoji7]
 
Hana uzuri wa kutisha sana,ni mwanamke wa kawaida tu.
Huyu Mama Sijui Ameolewa? Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.
Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha Maana Nikiendelea Kumsifia Naweza Nikavuka Mipaka NA Nikaleta Madhara...
 
1459273273808.jpg
 
Back
Top Bottom