Majestic wolf
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 1,248
- 1,851
Ahhh sasa sura mbona umeuficha? Au sio yeye?
dah!!!! umenichekesha sana mkuu, kumbe unafatilia thread zake.Ili iweje, hukumbuki kisa chake kuwa taa ikizima hawezi tena kazi huyu bwana?
Ana mgogoro na mkewe aongeze mwingine?
Hawa ndio wanaume wetu jamani!
90% ya waliochangia hapa ni waume za watu!
Hongereni wanawake mlioko ndoani,nyie ni mashujaa.