Namuelewa sana Waziri wa Afya

Namuelewa sana Waziri wa Afya

Ili iweje, hukumbuki kisa chake kuwa taa ikizima hawezi tena kazi huyu bwana?
Ana mgogoro na mkewe aongeze mwingine?
dah!!!! umenichekesha sana mkuu, kumbe unafatilia thread zake.
 
Hawa ndio wanaume wetu jamani!
90% ya waliochangia hapa ni waume za watu!
Hongereni wanawake mlioko ndoani,nyie ni mashujaa.


Ukiona Ni 90% basi usitoe hongera Kwa walio ndoani Bali ushangilie kuwa at least wanaume bado wana ashki majinuni Sio sawa na Mombasa kule mwanamke hasifiwi Kwenye thread Kama hizi Bali 90% ya mibaba ya Mombasa itamchambuaaaa kuanzia wanja umekaa vibaya Hadi ukucha si unajua mibaba ya kule I napendaga competition na wenye jinsia ya uhalali ahahahahhaahaa
 
Kumbe wakazi wa Nyegezi wapo wengi hapa Jf
 
Back
Top Bottom