chenjichenji
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 1,773
- 3,529
Hizo hazina noma mkuu...ni makubaliano tuuu!.Naona kuna pete ya ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hazina noma mkuu...ni makubaliano tuuu!.Naona kuna pete ya ndoa
Sexual harassment.Huyu Mama Sijui Ameolewa? Yuko Powa Sana Yaani Kila Nikimtazamaga Huwa Hanichoshi, Hakika Anatimiza Sifa Za Maanani Za UUMBAJI Wake Uliotukuka.
Hakika Ni Mzuri Na Anastahili Sifa Za Kutosha Maana Nikiendelea Kumsifia Naweza Nikavuka Mipaka NA Nikaleta Madhara...
Ili iweje, hukumbuki kisa chake kuwa taa ikizima hawezi tena kazi huyu bwana?Yaelekea unamzimia sana huyo mama. Fanya utafiti kama yupo single jitose bila ajizi.
Huyo duhh akiongea midume inamkodolea mimacho na udelele juu kama ina mwelewa kumbe hamna kitu, ukiwauliza waziri kaongelea nini jamaa hawajui kituKuna yule mwingine anaitwa angela kairuki, hatareeee
Napitiliza kama vile simuoni!teh teh teh
kama huko nyuma kapigwa pasi??
Anao mkia?Yan huyu wazir wa afya ni sheeda napendaga nimuone kila siku
Naskia upo wa kutoshaAnao mkia?
#TeamBazazYan huyu wazir wa afya ni sheeda napendaga nimuone kila siku
Khaa....!!!!!!!Huyo duhh akiongea midume inamkodolea mimacho na udelele juu kama ina mwelewa kumbe hamna kitu, ukiwauliza waziri kaongelea nini jamaa hawajui kitu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jf mda mwingne burudani tuNaskia upo wa kutosha
Hujalala tu?Hawa ndio waume zetu jamani!
90% ya waliochangia hapa ni waume za watu!
Hongereni wanawake mlioko ndoani,nyie ni mashujaa.
Acha utani mkuu.Halafu kuna yule waziri enzi ya Kikwete anaitwa Fenela Mkangara, nae yupo vizurina staili yake ya twende kilioni
Wanaume wa DarYan huyu wazir wa afya ni sheeda napendaga nimuone kila siku
Nilale wapi? Nawaangalia tu mnavyopiga stori zenu za kifirauni.Hujalala tu?