Namuhitaji COUGAR.

Namuhitaji COUGAR.

Habari wanajamii.

Mimi ni kijana 28yrs, tall-white, self-employed (najiweza).

Nahitaji mwanamke wa age 30-45 (awe vizuri financially). Sichagui dini, rangi wala kabila....hata kama una mtoto/watoto. We njoo pm tuzungumze, tutaelewana tu.

Welcome PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Akishakua na hela unadhani hivyo vigezo vingine utavichagua kama dini nk, yani kwa ufupi umechagua maisha ya utumwa maisha ya kulelewa, mwanaune hutafuta na huleta nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu. Ila umekosea kitu kimoja, ambacho ni kuweka neno "kulelewa".

Nadhani nilichokiandika kinasomeka vizuri, nimeweka wazi kwamba mimi ni "self-employed". Tena nikakazia kwenye mabano kwamba NAJIMUDU. Sinadhani kama, kuna eneo nimeandika "nataka au naomba kulelewa".

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimekuelewa semba watu wengi wa JF wanakasumba flani hivi kila wakisikia kijana anataka Dada kubwa hata kama una kazi yako wao hawatakuelewa watasema unataka kulelewa

JF bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unafahamu kwamba "sio mara zote jalada la kitabu, uwakisi yaliyomo ndani ya kitabu?".

Mimi nadhani ungepita kimya kimya, pengine ingekusaidia zaidi. Kuliko kupoteza muda, kumjaji mtu usiyemfahamu.
Akishakua na hela unadhani hivyo vigezo vingine utavichagua kama dini nk, yani kwa ufupi umechagua maisha ya utumwa maisha ya kulelewa, mwanaune hutafuta na huleta nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaa!! We ndugu, bado upo tu kwenye uzi huu!!!! Me nilijua umesha move on, na kuendelea na mambo yako mengine. Au hauna kazi???.

Maana kitendo cha kuendelea kuonekana hapa, ni wazi una JAMBO. Sasa nadhani ni vema ungeliweka wazi, ili nijue au watu wajue namna gani usaidie, na sio kuanza kukashifu uzi wa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hahaa. Acha nikaoshe vyombo
 
Back
Top Bottom