Namuhitaji COUGAR.

Namuhitaji COUGAR.

Habari wanajamii.

Mimi ni kijana 28yrs, tall-white, self-employed (najiweza).

Nahitaji mwanamke wa age 30-45 (awe vizuri financially). Sichagui dini, rangi wala kabila....hata kama una mtoto/watoto. We njoo pm tuzungumze, tutaelewana tu.

Welcome PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh kwa hiyo wewe ni gigolo?
 
Una laana kali, jitazame unavyoongea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhahha kumbe nawe limekutach hilo. Ila naomba usisahau kwamba, KUPANIC HADHARANI, ni fedhea kubwa.

Ahahaha huu mchezo hauhitaji hasira. That's way nikakuita pm tuyamalize kimya kimya. Ona sasa unaumbuka hahahaha

Siku nyingine punguza papala ndugu, wenzio tuna soma kwanza heading ya Uzi, ndio tunafanya maamuzi niingie au lah na hata ukiingia unatafakari tena, je ni comment au lah. Sio unakurupuka tu as if bwabwa, afu bad enough unaandika shit.

Ahahahha nadhani dose imekutosha kwa leo, nenda kalale sasa na sifa zako za kimbiji. Bye

Unajua siwezi bishana na watu wa aina yako, kitu nilichoshangaa nakuona una laana eti umekuja PM kabisa nakuanzisha mtongozo ngoja ni screen shot niweke hapa ili watu waone ujinga wako, kwenye jamii kweli kuna watu wanashangaza sana, nimegundua una matatizo ya akili, sasa huu nao ni uzi useme mtu upime cha kukoment hebu jiangalia umeingia lini jf na ungalie mimi nipo humu tangu kipindi gani, hakuna mtu asiejua kutukana ila tunajistili tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu, kwani shida ipo wapi ukikaa kimya. Mbona wapo wenzako waliochungulia na kutoka kimya kimya, au wewe ndio unajua sana kucomment?!!.

Ndio maana tangu awali nilikwambia, "usijipe kazi ya kumjaji mtu usiyemjua" ona sasa Umeanza mambo ya JF Acc!!! Hivi mimi nikija na known Id yangu, wewe utasimama wapi?. Au unataka "HATA WEWE?" ziwe nyingi kwenye uzi, Ili nikose nilichokifata.

Embu tafadhari sana ndugu, kama umekosa vya kuongea kiustarabu, ni vema ukapita kushoto na kuendelea na mambo yako mengine. Unless tutahalibiana siku tu, kwa mambo yasio na kichwa wala miguu, ila kama ndio nia yako just go ahead.
Unajua siwezi bishana na watu wa aina yako, kitu nilichoshangaa nakuona una laana eti umekuja PM kabisa nakuanzisha mtongozo ngoja ni screen shot niweke hapa ili watu waone ujinga wako, kwenye jamii kweli kuna watu wanashangaza sana, nimegundua una matatizo ya akili, sasa huu nao ni uzi useme mtu upime cha kukoment hebu jiangalia umeingia lini jf na ungalie mimi nipo humu tangu kipindi gani, hakuna mtu asiejua kutukana ila tunajistili tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahaha sikusoma vizuri, "ety nimekuletea mtongozo..." Aise!!!

Sasa kama umeleta pigo za kidada, me nifanyaje. Au unaisi nimeanzisha uzi wa kuenjoy watu?!!. Embu acha kuchosha watu bhana, kama huna kazi ya kufanya, nenda kalale.

Ahahaha ety mtu unajiita mwanaume, afu unajitangazia kwamba umetongozwa na mwanaume mwenzako. Damn
Unajua siwezi bishana na watu wa aina yako, kitu nilichoshangaa nakuona una laana eti umekuja PM kabisa nakuanzisha mtongozo ngoja ni screen shot niweke hapa ili watu waone ujinga wako, kwenye jamii kweli kuna watu wanashangaza sana, nimegundua una matatizo ya akili, sasa huu nao ni uzi useme mtu upime cha kukoment hebu jiangalia umeingia lini jf na ungalie mimi nipo humu tangu kipindi gani, hakuna mtu asiejua kutukana ila tunajistili tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamii.

Mimi ni kijana 28yrs, tall-white, self-employed (najiweza).

Nahitaji mwanamke wa age 30-45 (awe vizuri financially). Sichagui dini, rangi wala kabila....hata kama una mtoto/watoto. We njoo pm tuzungumze, tutaelewana tu.

Welcome PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kijana, umeshapata wa kukulea....au bado?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why are you looking for older women?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu, sinaga hobby na wanawake wadogo. Ila hata pale nilipojaribu kuwa nao, kweli sikuenjoy maisha kabisa. Wengi wao ni wahuni tu, full attentions zisizo na kichwa wala miguu.

That's way now nimeamua kujituliza na lika hilo. Ingawa na wao wanachangamoto zao, ila sio kama za hao watoto au mabinti. In short naweza kuzihandle vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kijana, umeshapata wa kukulea....au bado?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo waliokuja pm from day one, ila sikuwaelewa kabisa.

Nadhani wengi wao, wamekuja kwa attention ya kuninunua. Yaani wanataka tukulane then wanipe mkwanja. Ila mimi sipo huko, ninachokitafuta ni mapenzi ya dhati ili nitulize moyo na akili, na wala sio pesa.

Naomba niweke wazi tena, kwamba pesa ninazo, kwa lugha nyingine naweza sema najimudu. Kinachonitesa ni kwamba, am too innocent kwenye relationship. Huwa napenda nidate na mtu ambaye nae ni very loyal, sio huku na huku (mapepe). That's way nimeamua kukimbilia age hizo, maana wengi wao wanajielewa at least.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom