Namuitaji mke wa mkataba

Namuitaji mke wa mkataba

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,239
Nitagombea uongozi mkubwa katika nchi hii. Naitaji mke wa mkataba mwenye sifa zifuatazo. Awe na mvuto kwa jamii. Ajue kingereza vizuri, mcheshi, mwanaharakati, awe mvumilivu kisiasa. Umri wake uwe kati ya miaka 35 na 40. Kama ana mtoto, mtoto wake wa mwisho awe na zaidi ya miaka 8. Dini yeyote. Ndoa itakuwa ya kimila au bomani.
Mwenye sifa ani PM. Mwisho Tarehe 31/01/2013
 
Aisee nimevutiwa sana na hiyo ndoa ya mkataba..!

Ila hicho ki inglishi sikijui jui.. Utanifundisha basi..!
 
Aisee nimevutiwa sana na hiyo ndoa ya mkataba..!

Ila hicho ki inglishi sikijui jui.. Utanifundisha basi..!

Umekosa sifa, usijali. Bahati siyo yako
 
Ukikosa uongozi itakuwaje

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi kuna ndoa isiyo ya mkataba iwe ni till death do you apart, mpaka utakapoishiwa pesa au mapenzi yatakapoisha (yote ni mikataba ila vigezo tofauti)
 
Back
Top Bottom