Namungo 1-3 CD de Agosto uwanja wa Chamazi, Namungo inafuzu hatua ya makundi kwa magoli 7-5

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Leo ni mechi ya pili kati ya Namungo na CD de Agosto ambapo katika mechi ya awali CD de Agosto walipokea kichapo cha goli sita kutoka kwa Namungo dhidi ya goli zao mbili. Ushindi wowote kwa CD de Agosto usiofikia tofauti ya goli nne utawaondoa kwenye mashindano na kuiacha Namungo ikitinga hatua ya makundi.

6' Namungo inaongoza baada ya goli la Sabilo, Namungo 1-0 CD de Agosto

16' Namungo wanapata kona Pacha lakini zote zinashindwa kuzaa matunda

28' CD de Agosto wanasawazisha kupitia mkwaju wa penalt

45' Dakika mbili za nyongeza, Namungo 1-1 CD de Agosto

45+2' Filimbi inapigwa kuashiria mapumziko.

46' Mpira umerejea kutoka mapumziko, Aggregate Namungo 7-3 CD de Agosto

79' Matokeo bado ni Namungo 1-2 CD de Agosto

90' Dakika 4 zimeongezwa

90+4' Mpira umekwisha kwa Namungo kufungwa 1-3 na CD de Agosto
 
Namungo si wana uwanja wao wa kisasa? Kwanini hawautumii huo, badala yake wanautumia wa Azam?
 
Dah! Namungo haooooo!! πŸŒ β˜„οΈβœˆοΈπŸ›«πŸ›¬ Makundi!! Na sisi Wananchi msimu ujao haoooooo πŸŒ β˜„οΈβœˆοΈπŸ›«πŸ›¬ mpaka fainali Klabu Bingwa!! πŸ˜‡
unazizungumziaji hizi timu za club zinazotuwakilisha kwenye michuano Africa msimu huu kati ya Simba na Namungo?
unahisi zitafikia hatua ipi kwenye michuano hiyo?
 
unazizungumziaji hizi timu za club zinazotuwakilisha kwenye michuano Africa msimu huu kati ya Simba na Namungo?
unahisi zitafikia hatua ipi kwenye michuano hiyo?
Namungo anaweza akaishia makundi. Simba akipambana anaweza kuingia nusu fainali kwa mara ya kwanza. Mpaka sasa tayari ameshaingia mguu mmoja robo fainali.
 
unaruhusiwa kuota
Dah! Namungo haooooo!! [emoji293][emoji3512][emoji3575][emoji928][emoji929] Makundi!! Na sisi Wananchi msimu ujao haoooooo [emoji293][emoji3512][emoji3575][emoji928][emoji929] mpaka fainali Klabu Bingwa!! [emoji56]
 
Dah! Namungo haooooo!! πŸŒ β˜„οΈβœˆοΈπŸ›«πŸ›¬ Makundi!! Na sisi Wananchi msimu ujao haoooooo πŸŒ β˜„οΈβœˆοΈπŸ›«πŸ›¬ mpaka fainali Klabu Bingwa!! πŸ˜‡
Hivi wakiingia makundi kuna pesa yoyote wanapewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…