Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Leo ni mechi ya pili kati ya Namungo na CD de Agosto ambapo katika mechi ya awali CD de Agosto walipokea kichapo cha goli sita kutoka kwa Namungo dhidi ya goli zao mbili. Ushindi wowote kwa CD de Agosto usiofikia tofauti ya goli nne utawaondoa kwenye mashindano na kuiacha Namungo ikitinga hatua ya makundi.
6' Namungo inaongoza baada ya goli la Sabilo, Namungo 1-0 CD de Agosto
16' Namungo wanapata kona Pacha lakini zote zinashindwa kuzaa matunda
28' CD de Agosto wanasawazisha kupitia mkwaju wa penalt
45' Dakika mbili za nyongeza, Namungo 1-1 CD de Agosto
45+2' Filimbi inapigwa kuashiria mapumziko.
46' Mpira umerejea kutoka mapumziko, Aggregate Namungo 7-3 CD de Agosto
79' Matokeo bado ni Namungo 1-2 CD de Agosto
90' Dakika 4 zimeongezwa
90+4' Mpira umekwisha kwa Namungo kufungwa 1-3 na CD de Agosto