Nani kala redAnother two points dropped, pamoja na redcard
Togauti ya point 12OKW BOBAN SUNZU usijifanye huu uzi huuoni. [emoji28][emoji28]
Hahahahaaa. Lol.
Ngoja kesho tukawapige wale mgambo wa Ruvu huko huko walikopeleka mboga shenzi sanaaGap la point ngapi hapo Makolo?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sisi waongoza ligi tunamalizia Eid namna hii walau tupate joto mana baridi kali.
View attachment 2210080
Kabati la draw 3Vs Polisi Tanzania - Draw
Vs Yanga - Draw
Vs Namungo - Draw
Muda Si Mrefu Kabati Wanalochonga Litakamilika [emoji1787]
Aisee. Naimani tunatusua nayo.Yetu kesho [emoji23]
Mkuu kumbe na Bongo tupo pamojaAnother two points dropped, pamoja na redcard
Ngoja nami nikaribie 🤪Aisee! Karibu mdogo wangu hujachelewa mana tangia asubuhi saa hii ndo nashika simu.
Hata Shekh akizidiwa njaa hula nguruweleo hii simba inataka WACONGO
zamani mlikuwa mnatutania timu yenu imejaa wacheza NDOMBOLO
Hata huko Ulaya huoni viporoHii yote kusaidia ni ngumu ni kuongea na TFF viporo virudi maana ndo pona pona
Ndo maana huwa nakataa ubora ambao Simba tumekuwa twapewa12 points clear gape
Hahahaaa. Karibu Swahiba.Ngoja nami nikaribie 🤪
Huwa wana vichekesho sana hawa. 🤣🤣Unamkaba mayele unafungwa na masawe[emoji1]
Wakili msomi amekua hafai tena!Simba yahitaji Total Overhaul kuanzia management, benchi la ufundi, wachezaji
Wachezaji wapo wengi ambao hawatufai, hivyo tuwateme wote na kuanza upya tukijipa miaka 2-4 ya kupanda kimataifa.
Wachezaji kama Kagere,Wawa, Mzamiru, Nyoni, Lwanga, Mkude, Sadio, Kibu, Mugalu, Bocco, Chama, Banda, Morison hawatufai kwa sasa
Hawa ndo wanatukamua sana kibajeti.
Hawa waondolewe kwa mikataba yao kuvunjwa na tukuze vipaji au tununue wachezaji wazuri kutoka hapo Kongo
Matola na makocha wenzake, Mkurugenzi Rwemamu, hawa waondolewe
Wanaohusika na Scouting waondolewe
Nakuja swahiba,nishakaribiaHahahaaa. Karibu Swahiba.
🤣🤣🤣Nakuja swahiba,nishakaribia