Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Goli la Kapombe ni Offside basi tu ndio mambo yetu sisi wanasimba kuwashikisha chochote marefa na baadhi ya wachezaji na makochaYaani timu nzima inaweza kumkamia Fiston Mayele tu! Leo asingekuwa mwamuzi, tungekuwa tunaongea habari nyingine!
Maana lile goli la tatu la Chirwa, Manula aliamua tu kusimama ili asije kuvunjika nyonga.