Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Kwahyo progress mliyonayo mpaka sasa mna kombe la robo fainali mbili
Usije ukidhani kufanikiwa au mafaniko ni kubeba Taji tu

Kufanikiwa kwa Timu ni Progress ukilinganisha na misimu ya nyuma

Kuna any positive changes unaziona Kama ni yes basi ni mafaniko hayo.
 
Kwahyo progress mliyonayo mpaka sasa mna kombe la robo fainali mbili
Ukifuatilia vizuri robo fainali tatu alizocheza Simba utagundua kwamba hii ya mwisho atleast amejitahidi kidogo hakutoka kinyonge kama robo fainali mbili zilizopita!
 
Na ndiyo Bingwa wa kwanza kabisa chini udhamini mnono wa Azam, lakini pia ndiyo atakuwa Bingwa wa kwanza kabisa chini ya udhamini wa NBC.

Jambo la kipekee kabisa hili katika nchi yetu.
Lazima azindue akichoka ndipo awaachie nao wajikaanyage na udhamini
 
Kwahyo progress mliyonayo mpaka sasa mna kombe la robo fainali mbili
Kama ishu ni kombe Simba analo la Mapinduzi, kama unalidharau la mapinduzi kipi kinakufanya uthamini kombe la ubingwa wa Ligi ya NBC na kumcheka aliyeishia quarter final CCAF?
 
Ni kweli kabisa mlikuwepo uwanjani leo Mabingwa watetezi wa Ligi kuu! Shukrani zote ziende kwa mwamuzi wa mchezo wa leo.

Kiukweli alitimiza wajibu wake ipasavyo.
Na kiasi kwa kocha wa Namungo shukrani naye apewe
 
Hongereni mikia Kwa kupata sare maana hamkustahili ilitakiwa iwe 3-2
Wewe mpira hauko hivyo acha kulazimisha matokeo, mpira ni dakika 90..!

Je na bao la Banda alilokwamisha kwa kichwa Refaree kakataa nalo kungestahili kuwa ngapi ngapi?
 
Usije ukidhani kufanikiwa au mafaniko ni kubeba Taji tu

Kufanikiwa kwa Timu ni Progress ukilinganisha na misimu ya nyuma

Kuna any positive changes unaziona Kama ni yes basi ni mafaniko hayo.
mkuu, mshindi kwenye mashindano yoyote ni yule wa kwanza tu, msimu uliopita kaizer chief alifika fainali ya CAF... lakini msimu huu hata kushiriki hakuwepo! hakuna mtu anaemkumbuka,,, anaetambulika ni AL AHLY tu aliebeba ubingwa! kama huna taji, ni kwamba huna mafanikio!...
 
Matches played by both Simba and Yanga are 21.
Yanga points: 55
Simba points: 43

With 9 games to go, the Difference is12 points. This is like saying out of the 9 games: -
1. While Simba wins 5 games, Yanga either has to loose 2 games and draw atleast 3 games (Yanga 58, Simba 58)
2. While Simba wins 5 games, Yanga either has to loose 3 games and draw atleast 2 games (Yanga 57, Simba 58)
3. While Simba wins 4 gamea, Yanga has to loose 4 games as well (Yanga 58, Simba 58)

For Simba to be ontop of/level with Yanga, either 3 of the following has to happen.

Meanwhile, out of the 9 games Yanga needs only 5 wins and 1 draw to win the NBCPL 2022 (Yanga 55 + (15 + 1) = 71 points) cause even if Simba wins the rest of the 9 games (equal to 27 points) the points will be 70 points (43 + 27)

Mkumbuke kwamba kama mkishona sare nyingine basi idadi ya mechi kuelekea ubingwa zinapungua

Anyway, YANGA BINGWA
 
Huku kujisifia na kujitapa mngekuwa mnazielekeza kwenye kupambana kupata matokeo chanya Kimataifa mngekuwa mbali sana.
Kombe la robo linawafanya mjione Al ahly. Eti?

Siku ukipata kombe lolote la kimataifa ambalo Yanga hajawahi kulipata, pandisha mabega yako.
 
Simba mmebaki kujisifu kimataifa tu, wakati hamjawahi kuchukua ubingwa.. Timu za kujisifu kimataifa ni tp mazembe, al ahly, mamelodi zote hizo zina makombe..kwa tanzania hakuna timu ya kujisifu...hata ukifika fainali, ukikosa ubingwa we ni losers tu
Robo fainali tatu (ikiwemo shirikisho) unaskia sisi level zetu Al Ahly [emoji1787][emoji1787] na TP Mazembe, ukiuliza wana kombe gani la kimataifa unaskia tumefika robo [emoji1]
 
Robo fainali tatu (ikiwemo shirikisho) unaskia sisi level zetu Al Ahly [emoji1787][emoji1787] na TP Mazembe, ukiuliza wana kombe gani la kimataifa unaskia tumefika robo [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba na Yanga kufikia levels za Al ahly hiki kizazi kilichopo hapo jukwaani chote kitakua kipo kaburini!! Hatuwezi kushindana na watu wenye football academy nyingi kiasi kile. Kama mnafuatilia vizuri angalieni mpira waliokua wanacheza Asec mimosas ile ndio timu ambayo siku sijazo ukisikia imechukua ubingwa ni haki yao! Teamwork, footwork ni superb!!
 
Kombe la robo linawafanya mjione Al ahly. Eti?

Siku ukipata kombe lolote la kimataifa ambalo Yanga hajawahi kulipata, pandisha mabega yako.
Hivi wapi nimezungumzia robo fainali?

Nimesema mafanikio ni hatua moja kwenda nyingine...!

Simba imefika mpaka Nusu Fainali Klabu Bingwa Afrika na Fainali ya mashindano ya CAF

Hiyo mbona hamzungumziii..? Au hamkuwepo..?
 
Kiukweli kwa timu waliyonayo Yanga msimu huu wasipofika hatua ya robo fainali, waje waipigie magoti Simba!
 
Kiukweli kwa timu waliyonayo Yanga msimu huu wasipofika hatua ya robo fainali, waje waipigie magoti Simba!
Robo mbona washapita

Si walikipiga na Geita majuzi kati mpaka matuta au umesahau?
 
Back
Top Bottom