Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #341
Huku kujisifia na kujitapa mngekuwa mnazielekeza kwenye kupambana kupata matokeo chanya Kimataifa mngekuwa mbali sana.Na ndiyo Bingwa wa kwanza kabisa chini udhamini mnono wa Azam, lakini pia ndiyo atakuwa Bingwa wa kwanza kabisa chini ya udhamini wa NBC.
Jambo la kipekee kabisa hili katika nchi yetu.