[emoji23][emoji23]aaaa kabisa...kawaambia muhamala tayari ushafanywa..Kibuuuuuu, Kishuti kidogooo eti kinaingia kambani.
Itakuwa Julio kashawaambia kuwa mzigo upo tayari
NyooooooooooMnyama mkali Simba sc tafuna hao Namungo Fc.
SIMBA NGUVU MOJA
Bonge la goli kafunga Mzee KilomoniGoooooooooal
Simba anapata goli LA tatu dk ya 99
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vipi sare ya leo hawajashangilia?Huwa wana vichekesho sana hawa. [emoji1787][emoji1787]
Yule ni mpenda sifa. Huko hamna sifa kwa mashabiki so hamna madhara.Inonga Varane beki wa CAF yumo?
Njaa?Mechi inaisha simba kashinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chaliiiii. BiduuuuuuKucheka cheka na vitoto haturuhusu
Vikitoka hapo vianze kuwatambia vitoto vyenzao "afunga akaka, afunga akaka"
Wamekimbia wote hata hatujui ndo wanashangilia huko ama vipi? 😀😀Vipi sare ya leo hawajashangilia?
Labda NCCR MAGEUZI
Msimu huu hawakustahili hata kuwa nafasi ya pili kwavile tu Azam fc wamekuwa wazembe.Huu ni moja kati Msimu ya kikatili sana aisee.
Yaani namba moja Makolo wanaiona tu ila mpaka round ya 21 hajawahi kanyaga wala kujua kuna raha gani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumeonga sana ndio maana tupo nafasi ya 2 la sivyo tungekuwa tunasumbuana na hakina Coastal Union!Msimu huu hawakustahili hata kuwa nafasi ya pili kwavile tu Azam fc wamekuwa wazembe.
Bahasha za khaki. 😀😀Tumeonga sana ndio maana tupo nafasi ya 2 la sivyo tungekuwa tunasumbuana na hakina Coastal Union!
Kibandani kila mtu alikuwa anashangaa kwamba Manula alikuwa anaenda wapi na lengo lake ilikuwa ni nini.Yaani timu nzima inaweza kumkamia Fiston Mayele tu! Leo asingekuwa mwamuzi, tungekuwa tunaongea habari nyingine!
Maana lile goli la tatu la Chirwa, Manula aliamua tu kusimama ili asije kuvunjika nyonga.