Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Usije ukidhani kufanikiwa au mafaniko ni kubeba Taji tu
Kufanikiwa kwa Timu ni Progress ukilinganisha na misimu ya nyuma
Kuna any positive changes unaziona Kama ni yes basi ni mafaniko hayo.
Ukifuatilia vizuri robo fainali tatu alizocheza Simba utagundua kwamba hii ya mwisho atleast amejitahidi kidogo hakutoka kinyonge kama robo fainali mbili zilizopita!Kwahyo progress mliyonayo mpaka sasa mna kombe la robo fainali mbili
Lazima azindue akichoka ndipo awaachie nao wajikaanyage na udhaminiNa ndiyo Bingwa wa kwanza kabisa chini udhamini mnono wa Azam, lakini pia ndiyo atakuwa Bingwa wa kwanza kabisa chini ya udhamini wa NBC.
Jambo la kipekee kabisa hili katika nchi yetu.
Kama ishu ni kombe Simba analo la Mapinduzi, kama unalidharau la mapinduzi kipi kinakufanya uthamini kombe la ubingwa wa Ligi ya NBC na kumcheka aliyeishia quarter final CCAF?Kwahyo progress mliyonayo mpaka sasa mna kombe la robo fainali mbili
Na kiasi kwa kocha wa Namungo shukrani naye apeweNi kweli kabisa mlikuwepo uwanjani leo Mabingwa watetezi wa Ligi kuu! Shukrani zote ziende kwa mwamuzi wa mchezo wa leo.
Kiukweli alitimiza wajibu wake ipasavyo.
Wewe mpira hauko hivyo acha kulazimisha matokeo, mpira ni dakika 90..!Hongereni mikia Kwa kupata sare maana hamkustahili ilitakiwa iwe 3-2
mkuu, mshindi kwenye mashindano yoyote ni yule wa kwanza tu, msimu uliopita kaizer chief alifika fainali ya CAF... lakini msimu huu hata kushiriki hakuwepo! hakuna mtu anaemkumbuka,,, anaetambulika ni AL AHLY tu aliebeba ubingwa! kama huna taji, ni kwamba huna mafanikio!...Usije ukidhani kufanikiwa au mafaniko ni kubeba Taji tu
Kufanikiwa kwa Timu ni Progress ukilinganisha na misimu ya nyuma
Kuna any positive changes unaziona Kama ni yes basi ni mafaniko hayo.
Kombe la robo linawafanya mjione Al ahly. Eti?Huku kujisifia na kujitapa mngekuwa mnazielekeza kwenye kupambana kupata matokeo chanya Kimataifa mngekuwa mbali sana.
Robo fainali tatu (ikiwemo shirikisho) unaskia sisi level zetu Al Ahly [emoji1787][emoji1787] na TP Mazembe, ukiuliza wana kombe gani la kimataifa unaskia tumefika robo [emoji1]Simba mmebaki kujisifu kimataifa tu, wakati hamjawahi kuchukua ubingwa.. Timu za kujisifu kimataifa ni tp mazembe, al ahly, mamelodi zote hizo zina makombe..kwa tanzania hakuna timu ya kujisifu...hata ukifika fainali, ukikosa ubingwa we ni losers tu
Kombe la roboKimataifa my foot mna kombe gani huko
Pia simba analo kombe la robo fainaliKama ishu ni kombe Simba analo la Mapinduzi, kama unalidharau la mapinduzi kipi kinakufanya uthamini kombe la ubingwa wa Ligi ya NBC na kumcheka aliyeishia quarter final CCAF?
Kwakuwa hili la sasa hakutoka kinyonge basii tufanye makolo wamechukua kombe la robo fainaliUkifuatilia vizuri robo fainali tatu alizocheza Simba utagundua kwamba hii ya mwisho atleast amejitahidi kidogo hakutoka kinyonge kama robo fainali mbili zilizopita!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Robo fainali tatu (ikiwemo shirikisho) unaskia sisi level zetu Al Ahly [emoji1787][emoji1787] na TP Mazembe, ukiuliza wana kombe gani la kimataifa unaskia tumefika robo [emoji1]
Simba na Yanga kufikia levels za Al ahly hiki kizazi kilichopo hapo jukwaani chote kitakua kipo kaburini!! Hatuwezi kushindana na watu wenye football academy nyingi kiasi kile. Kama mnafuatilia vizuri angalieni mpira waliokua wanacheza Asec mimosas ile ndio timu ambayo siku sijazo ukisikia imechukua ubingwa ni haki yao! Teamwork, footwork ni superb!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wapi nimezungumzia robo fainali?Kombe la robo linawafanya mjione Al ahly. Eti?
Siku ukipata kombe lolote la kimataifa ambalo Yanga hajawahi kulipata, pandisha mabega yako.
Kiukweli kwa timu waliyonayo Yanga msimu huu wasipofika hatua ya robo fainali, waje waipigie magoti Simba!Hivi wapi nimezungumzia robo fainali?
Nimesema mafanikio ni hatua moja kwenda nyingine...!
Simba imefika mpaka Nusu Fainali Klabu Bingwa Afrika na Fainali ya mashindano ya CAF
Hiyo mbona hamzungumziii..? Au hamkuwepo..?
Robo mbona washapitaKiukweli kwa timu waliyonayo Yanga msimu huu wasipofika hatua ya robo fainali, waje waipigie magoti Simba!
Kimataifa Mkuu sio huku kwetu!Robo mbona washapita
Si walikipiga na Geita majuzi kati mpaka matuta au umesahau?
Yanga haina timu ya kufika level hizo kimataifaKimataifa Mkuu sio huku kwetu!