Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Jamani vp matokeo huko? Hapa Newala sisi wenye wake wawili tunaongoza 2-0
FB_IMG_1651583525836.jpg
 
31' Simba SC wanashambulia sasa lango la Namungo.

Banda, Kagere na Kibu, wanashindwa kufunga bao baada ya kutokea piga nikupige lango la Namungo.

Namungo FC 1-0 Simba SC
 
Daaah maskini... Hivi hawa washambulizi wa Simba wana mgomo wakutia mpila kimiani
 
Back
Top Bottom