mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Haya sasa mashabiki wa simba wanaanza taraaatibu kuchangia kwenye huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gombea ukochaBenchi la ufundi la Namungo lina upuuzi mwingi sana! Wangemtoa Molinga na kumuingiza kiungo mshambuliaji, wangeondoka na ushindi kwenye hii mechi.
Kumchezesha washambuliaji wawili; Lusajo na Molinga asiye na control yoyote ile ya mpira, wala kunyumbulika, ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.
Wakifungwa kwenye hii mechi watakuwa wamejitakia wenyewe.
Mi naona Namungo kazidiwa huwezi kusema kua wakishindwa kufunga wajilaumu mi naona Makolo wakiwa makini wanashinda goli nyingi tuBenchi la ufundi la Namungo lina upuuzi mwingi sana! Wangemtoa Molinga na kumuingiza kiungo mshambuliaji, wangeondoka na ushindi kwenye hii mechi.
Kumchezesha washambuliaji wawili; Lusajo na Molinga asiye na control yoyote ile ya mpira, wala kunyumbulika, ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.
Wakifungwa kwenye hii mechi watakuwa wamejitakia wenyewe.
Mnafiki tu moyoni anashangiliaNamuona Julio amechukia, wamekiuka maelekezo yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ngapi HukoDk39
Namungo 1 simba 0
Ni moja mojaNgapi Huko
Kibu anakiwango cha kucheza Barcelona bonge la mchezajiAliyemsajili Kibu sijui alifikiri nn, jamaa hata kutuliza mpira hawezi
Ili yule mamluki wenu Julio aniroge? Amemshawishi kocha mkuu kumpanga Molinga ambaye hata kukimbia tu hawezi!Gombea ukocha
Kwani mechi ya utopolo molinga hakuanza mechi?Ili yule mamluki wenu Julio aniroge? Amemshawishi kocha mkuu kumpanga Molinga ambaye hata kukimbia tu hawezi!
Hata kwenye mechi dhidi ya Yanga nilipomuona tu kwenye First Eleven nikajua tunashinda mechi! Na ikawa kweli. Kiufupi tu Molinga ni zaidi ya garasa.
Mikia waoga sanaHaya sasa mashabiki wa simba wanaanza taraaatibu kuchangia kwenye huu uzi
Update matokeo pale juu45+2' Kuendelea kuwa mapumziko
Naaam mpira ni mapumziko ambapo Timu zote mbili zinakwenda zikiwa zimefungana bao moja kwa moja
HT: Namungo FC 1-1 Simba SC