Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Huyo Molinga ndiyo kirusi anayeua mfumo wa uchezaji wa kasi wa Namungo! Wakiendelea kumchezesha, Lusajo hatokuja afunge tena! Maana inamlazimu kushuka, au kwenda pembeni kutafuta mpira.Kwani mechi ya utopolo molinga hakuanza mechi?
Hata kwenye mechi ya Yanga, hakuwa na impact yoyote ile mpaka alipotolewa. Baada ya kuingia kiungo mshambukliaji, ndipo mpira ulichangamka.