Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
🤣🤣🤣Wam.ekojo.zwa kimoja tayari
Ni mcongo aliyepewa uraia wa Tz
Hawaiamini timu yao,au utawaona wakisawaziahaKuna jamaa sijawaona kabisa humu wanasuburi matokeo ya mwisho
Mechi 5 zilizopita za ligi Mikia wanagoli ngapi? Ukipata majibu hutauliza tenaDaaah maskini... Hivi hawa washambulizi wa Simba wana mgomo wakutia mpila kimiani
Sawa mjukuu wa Sheikh Yahya.......ila mkombozi wenu Julio yupo MsijaliFull time nam 1 simba 3
HahahhhhhahhhhhhhhahhhhKibu Denis hahahahaa kuna watu walikuwa wanamlinganisha na mayele hahahaha
Mkombozi wetu bado Yu hai"Julio"#GuvuMoya
Iwe 1-2 kulinda mkekaFull time nam 1 simba 3