Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Kwani mechi ya utopolo molinga hakuanza mechi?
Huyo Molinga ndiyo kirusi anayeua mfumo wa uchezaji wa kasi wa Namungo! Wakiendelea kumchezesha, Lusajo hatokuja afunge tena! Maana inamlazimu kushuka, au kwenda pembeni kutafuta mpira.

Hata kwenye mechi ya Yanga, hakuwa na impact yoyote ile mpaka alipotolewa. Baada ya kuingia kiungo mshambukliaji, ndipo mpira ulichangamka.
 
46' Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Ilulu mkoani Lindi Namungo FC na Simba SC

Chirwa ameingia kuchukua nafasi ya Molinga, upande wa Namungo FC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…