Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Mechi hii simba anashinda
Hapana mkuu. Aliyepiga kichwa alikuwa mbali kidogo, Manula amewazingua SimbaHiyo kona hatari
SawaMechi hii simba anashinda
Watasema Mi Mchawi Kumbe Mpira Hawajui Kucheza [emoji23]Hahahaaa. Mwishowe watasema umewachawia.
Tuvute subira [emoji28][emoji28][emoji28]Mechi hii simba anashinda
Walitumia nguvu nyingi sanaNyie mnachojua ni kupania kumkaba mayele tu [emoji2957][emoji2957]
[emoji4]Hii Game Chirwa Inabidi Ahusike Huku Mbele Sio Huyu Molingawise.
Watavuta mpaka kambaTuvute subira [emoji28][emoji28][emoji28]
🤣🤣🤣Sasa mbona unaangalia mechi na Panadol?Japo Watapoteza hii Mechi. NMG Wameona wajitafutie mapema Magoli ya Kufutia Machozi
Japo Watapoteza hii Mechi. NMG Wameona wajitafutie mapema Magoli ya Kufutia Machozi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Onyango na Baka bado wanauchovu wa Mayele [emoji28][emoji28]