Hahahaa. Kwa kweeli.Tucheke Tu Ndugu Yangu Maana Hakuna Namna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NilisemaHii Game Chirwa Inabidi Ahusike Huku Mbele Sio Huyu Molingawise.
Sasa si ufurahi zaidi ili utangaze ubingwa mapemaDah! Mnyama anatia huruma mpaka basi! Mechi nyingi zilizobakia anacheza viwanja vya ugenini, ambako hupata matokeo kwa shida sana ukilinganisha na pale awapo dimba la Mkapa!
🤣🤣🤣 hivi si na kombe lao la robo fainali wanalo? 🤣🤣🤣Nyie mnachojua ni kupania kumkaba mayele tu [emoji2957][emoji2957]
Mdogo wangu naona mnatandaza soka saafi kabisa. 🤣Sasa si ufurahi zaidi ili utangaze ubingwa mapema
Labda ashinde nJaaMechi hii simba anashinda
Mwaliko vip mbona kimyaaa 🤣Mdogo wangu naona mnatandaza soka saafi kabisa. 🤣
Refa kawabeba kabisa hapa,chirwa kafunga goli safi kabisaRefa kaokoa goli