Marefa wapumbavu tu HawaYule beki anayeibwa kila siku,anapumulia mashine..........Sasa Chirw kamfanyaje pale,clear goal kabisa......🤣🤣🤣
Ndiyo kusema hakuna tena matumaini ya kutetea ubingwa, au! Tutangazwe kuwa mabingwa mapema tena!!!Sasa si ufurahi zaidi ili utangaze ubingwa mapema
Hakuna mgomo timu mbovu hii bila uchawi hakuna kituJicho la tatu Uongozi wa Simba kuweni makini hapo pana mgomo.
Kufungwa kupo usitafte mchawiJicho la tatu Uongozi wa Simba kuweni makini hapo pana mgomo.
Alitumia energy nyingi siku ile kumkaba mayeleInonga leo kaonekana mpuuzi flani tu
Msiipe lawama saikolojia, hiyo timu mbovuWachezaji wa Simba hawapo kisaikolojia vizuri kuna jambo
Aisee! Karibu mdogo wangu hujachelewa mana tangia asubuhi saa hii ndo nashika simu.Mwaliko vip mbona kimyaaa 🤣