Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League | Ilulu Stadium

70' Ameingia Bocco, akichukua nafasi ya Banda, upande wa Simba SC
 
Japo Watapoteza hii Mechi. NMG Wameona wajitafutie mapema Magoli ya Kufutia Machozi
 
Yaani Beki unamweka forward ndani na mpira una control ndani unapigwa push mtu anakandamiza msumari refa unakataa goli ni upuuzi wa kiwango Cha lami.
Ivi Beki kama Inonga anatulizaje mpira kwenye njia ya opponent wako!! Amshukuru refa ame mmbeba la sivyo ni kosalake.
 
Back
Top Bottom