Namungo FC kudondokea kundi la kifo Shirikisho

Namungo FC kudondokea kundi la kifo Shirikisho

Kwa taarifa yako tu mabingwa hawako shirikisho wako klabu bingwa, na kama huwezi kukubali uwezo wa mpinzani wako ukakaa unajipa moyo tu wa uzalendo feki wewe ni kipofu usiejua chochote kwenye mpira, tuachie tunaoujua, mpira sio siasa na kelele zake.
Eti sijui mpira daah!! Eti mabigwa hawako huko, inamaana hujui kwamba kwenye hii hatua ya 32 bora kuna timu 16 zilizotolewa ligi ya mabingwa??
Hata hivyo hii bado ni ligi ya mabingwa kwasababu ili ushiriki ni lazima uwe bingwa wa ligi ama FA au ushike nafasi ya pili kwenye hayo mashindano ikiwa nchi ina nafasi nne basi washindi wapili watakwenda. Hivyo huko hakuna timu rahisi.

Wewe hujui mpira ila ni woga tu na ushabiki wako wa ovyo ulio nao. Kuheshimu uwezo wa mpinzani wako sio maana yake kuwaogopa na kuwapa ushindi kabla hata ya mechi kuchezwa Kama unavyojaribu kutuaminisha hapa.

Hilo kundi namungo wakipambana kiume wanapita hapo.
 
Tusidanganye jamani kwa uwezo wa Namungo kwa kundi ilo ushindi wake labda apate sare tu tena kajitahidi sana nyumbani,Hata Simba usione hatua aliyofikia yeye ni jitihada za ndani na nje ya uwanja kwaiyo kwa Namungo fitina za ndani na nje bado hajazifikia
 
Hapa muhimu wakachukue hizo pesa za kuingia hatua ya makundi tu, habari ya robo fainali tusahau tu kwakweli, yaani hawa CAF wanajua kutukatisha tamaa khaa.
hiyo ndiyo maana ya michuano mikubwa, ni lazima ukutane na wakubwa wenzio, hakuna namna lazima upitie tanuru la moto ili tujue ubora wako....naamini Namungo watapambana na kutuwakilisha vyema kama kawaaa
 
Ili Tanzania isonge mbele kimaendeleo kuanzia kiuchumu hadi kisoka lazima mawatu mapuuzi Kama mleta mada wachomwe moto.
Haiwezekani yaani mawazo ya kushindwa shindwa tu.

Kama wachambuzi wengi wa kibongo walivyo kila siku utasikia hata hapo walipofika tuwapongoze majinga sana
 
Eti sijui mpira daah!! Eti mabigwa hawako huko, inamaana hujui kwamba kwenye hii hatua ya 32 bora kuna timu 16 zilizotolewa ligi ya mabingwa?
Naona kelele zinakuwa mingi mpk unaandika gazeti, sasa to cut long story short tufanye hivi, mimi nasema Namungo haendi robo fainali nipo tayari kuweka 50,000/= tshs, wewe kama unaamini ataenda na huo uzalendo wako weka huo mzigo, ufanyike utaratibu humu ndani mzuri siku ikifika anaestahili apewe chake.
 
Ili Tanzania isonge mbele kimaendeleo kuanzia kiuchumu hadi kisoka lazima mawatu mapuuzi Kama mleta mada wachomwe moto.
Haiwezekani yaani mawazo ya kushindwa shindwa tuu
Kama wachambuzi wengi wa kibongo walivyo kila siku utasikia hata hapo walipofika tuwapongoze majinga sana
Na wewe na mikelele yako uwe tayari kuweka mzigo kama huyo mzalendo mwenzako, mnadhani mpira ni makelele ya mitandaoni hovyo kabisa, wenzenu wamewekeza kwenye pitch.
 
hiyo ndiyo maana ya michuano mikubwa, ni lazima ukutane na wakubwa wenzio, hakuna namna lazima upitie tanuru la moto ili tujue ubora wako....naamini Namungo watapambana na kutuwakilisha vyema kama kawaaa
Namungo ni mkubwa?!
 
Narudia tena kwenu wazalendo feki, yeyote mwenye kuamini Namungo ataenda robo fainali toka kwenye hilo kundi aweke pesa, nipo tayari 50,000/= au yeyote akipendezwa zaidi hata 100,000/= ipo, otherwise sitaki tena kelele na watoto.
 
Back
Top Bottom