Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Namungo kwenye VPL anafanya nini cha maana?Nkana na Raja zimeporomoka sana viwango, hasa Nkana katika ligi yao ipo chini karibu na katikati ya msimamo wa ligi
Eti sijui mpira daah!! Eti mabigwa hawako huko, inamaana hujui kwamba kwenye hii hatua ya 32 bora kuna timu 16 zilizotolewa ligi ya mabingwa??Kwa taarifa yako tu mabingwa hawako shirikisho wako klabu bingwa, na kama huwezi kukubali uwezo wa mpinzani wako ukakaa unajipa moyo tu wa uzalendo feki wewe ni kipofu usiejua chochote kwenye mpira, tuachie tunaoujua, mpira sio siasa na kelele zake.
hiyo ndiyo maana ya michuano mikubwa, ni lazima ukutane na wakubwa wenzio, hakuna namna lazima upitie tanuru la moto ili tujue ubora wako....naamini Namungo watapambana na kutuwakilisha vyema kama kawaaaHapa muhimu wakachukue hizo pesa za kuingia hatua ya makundi tu, habari ya robo fainali tusahau tu kwakweli, yaani hawa CAF wanajua kutukatisha tamaa khaa.
ni kweli kabisa, hata hizo timu nazo zinapiga mahesabu watapambana vipi na NamungoHili ndio tatizo letu watanzania tumekuwa waoga sana. Sasa we ulitegemea hatua ya group stage upangiwe vibonde kweli?...
Naona kelele zinakuwa mingi mpk unaandika gazeti, sasa to cut long story short tufanye hivi, mimi nasema Namungo haendi robo fainali nipo tayari kuweka 50,000/= tshs, wewe kama unaamini ataenda na huo uzalendo wako weka huo mzigo, ufanyike utaratibu humu ndani mzuri siku ikifika anaestahili apewe chake.Eti sijui mpira daah!! Eti mabigwa hawako huko, inamaana hujui kwamba kwenye hii hatua ya 32 bora kuna timu 16 zilizotolewa ligi ya mabingwa?
Na wewe na mikelele yako uwe tayari kuweka mzigo kama huyo mzalendo mwenzako, mnadhani mpira ni makelele ya mitandaoni hovyo kabisa, wenzenu wamewekeza kwenye pitch.Ili Tanzania isonge mbele kimaendeleo kuanzia kiuchumu hadi kisoka lazima mawatu mapuuzi Kama mleta mada wachomwe moto.
Haiwezekani yaani mawazo ya kushindwa shindwa tuu
Kama wachambuzi wengi wa kibongo walivyo kila siku utasikia hata hapo walipofika tuwapongoze majinga sana
hujui hilo? wakubwa wote wapo kimataifa, hukubaliani ni hili basi tafuta panadol utulize maumivuNamungo ni mkubwa?!
Yani sijui huwa wanafikiria niniHili ndio tatizo letu watanzania tumekuwa waoga sana. Sasa we ulitegemea hatua ya group stage upangiwe vibonde kweli?...