Mwenyeji ana nguvu ya kuamua Jezi gani atumie...timu hazina Jezi mbili tu,Kwani jezi inaamuliwa na uenyeji tu au kulingana na ulivyochagua jezi ya nyumbani na ugenini?
Na mpaka unaona Namungo FC wamewatega kwa hicho Kiasi Kikubwa cha Milioni 200 hao Watakaocheza nao Keshokutwa Jumatano Saa 1 Usiku Uwanja wa Ruangwa Majaliwa ni kwamba wanajua hawawezi Kulipwa hicho Kiasi kutokana na Ukata unaoikumba kwa sasa hiyo Timu ya Kupenda Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao Hatari wa Kienyeji.Kwa jinsi wanavyozitaka pointi 3, mtapewa angalau 100M.
Pesa sio tatizo JamiiForums mobile app
Wajinga wengi, kama jezi ndio inacheza wavae wao tuoneBongo nyoko sana huu ujinga wa matokeo ya Yanga umehamia kwenye jezi na sio bahasha tena kama ilivyokuwa awali[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Official Jersey ya Yanga SC kwa Nyumbani ni Kijani na kwa Ugenini ni Njano na Nyeusi ni kama Dharula itokanayo na Mazingira japo kwa Kanuni za Ligi Kuu zinaipa Timu Mwenyeji Maamuzi ya Kuvalia Jezi waitakayo na ambaye waliiwasilisha TFF kabla ya kuanza kwa Msimu mpya wa Ligi.Hivi Kanuni zinambeba au kanuni zinatambua jezi yako ya nyumban ni hipi na ya ugenini ni hipi? Mfano jezi nyeusi ya Yanga ni jezi ya 3 baada ya njano, 2 kijan na 3 nyeusi ila 1 ndiyo home kit
Hivi Kanuni zinambeba au kanuni zinatambua jezi yako ya nyumban ni hipi na ya ugenini ni hipi? Mfano jezi nyeusi ya Yanga ni jezi ya 3 baada ya njano, 2 kijan na 3 nyeusi ila 1 ndiyo home kit
Huyu jamaa mpaka huruma 🤣🤣🤣sawa popoma
wafanye hima wakutoe ban make ID zinakuwa nyingi mno
Kumbe Hadi jf Kuna watu wanaowaza ujingaKwa jinsi wanavyozitaka pointi 3, mtapewa angalau 100M.
Pesa sio tatizo JamiiForums mobile app
Hawa wanatumia vyote,uchawi na pesa.Bongo nyoko sana huu ujinga wa matokeo ya Yanga umehamia kwenye jezi na sio bahasha tena kama ilivyokuwa awali[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Kwani uchawi mbafanyaje kwa mashehe wa Sudan?Yanga imechukua ubingwa Kwa kucheza Michezo 30 mfululizo bila kupoteza.. Wala hawakuwa na jezi nyeusi..
Simba imepasuliwa ngao ya jamii mara mbili mfululizo na nusu fainali ya FA kule mwanza, Wala Yanga haikuvaa jezi nyeusi..
Yanga walivofungwa na Al Hila kule Sudan walikuwa wamevaa bukta nyeusi..
Hizi ni propaganda tu na Wala hakuna uhusiano wowote kati ya ushindi wa timu na rangi ya jezi.
Ngao ya hisani hawakuvaa jezi nyeusi, kwahio mlupokea bahasha?Hawa wanatumia vyote,uchawi na pesa.
Kuna mahali pesa inakataliwa,wanabakiza uchawi tu.
Kwa Ihefu pesa ilikataliwa,na jezi hawakuvaa,wakachezea koki,wakalowa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
yaani hata akibadili ID akaitwa scolastika lazima ajulikane tuHuyu jamaa mpaka huruma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu ndugu yenu kazi anayo! Kila ID anayokuja nayo humu jukwaani (baada ya ile iliyozoeleka kupigwa ban mara kwa mara kutokana na kutukana watu hovyo), ndani ya dakika 0 tu inakuwa imeshajulikana.Ila wewe jamaa hahahahahah