Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

Wanfiti kwani mnacho zungumzia si kubebana? Maana msimu huu hamjiamini akili yenu ipo huko tunawapa mifano mnasema hamna balance.
 
Wanfiti kwani mnacho zungumzia si kubebana? Maana msimu huu hamjiamini akili yenu ipo huko tunawapa mifano mnasema hamna balance.
Kama ni kubebana inakuwaje sasa Coastal alazimishe sare katika msimu ulio tight kama huu? Inakuwaje Namungo alazimishe sare na Simba wakati iko katika mbio za ubingwa? Inakuwaje Azam alazimishe sana na amfunge Simba tena na tena misimu ya hivi karibuni na kutibua harakati zake za ubingwa? Kama hayo ndiyo matawi yake basi Simba inabidi ijitafakari sana.

Bado nasubiri mfano walau mmoja wa Yanga kufungwa na tawi la GSM ili haya matawi ya GSM nayo tuyaangalie kwa jicho lingine.
 
Mechi 11 zilizopita na Namungo Simba ameshinda 6 na Draw 5.
Tuwekee mechi za Singida na Yanga hata 10 tu.Wacheni kujaribu kubalance.Namungo hata mechi moja hajawahi kuiachia Simba au kupanga matokeo.
Rais wenu jana mpaka kavunja kanuni ya kutoingia uwanjani ili awashukuru wachezaji wa Singida Black Stars.Haijawahi kutokea duniani Kiongozi wa timu pinzani anaingia uwanjani kuzungumza na kucheka na timu pinzani iliyotoka kupoteza mechi.Huwezi kupoteza harufu ya mavi kwa kujaribu kuimwagia manukato.Harufu ya mavi haifichiki.
 
Sare kipa wako mwenyewe si alikuwa na wenge watubwalikuwa wanajipigia kimasihala yy anaachia, kaangalie highlight ya magoli yote na Coastal likiwemo na la Shabalala. Azam offside mbili hamkupiga kelele kama mmpendelewa,JKT Ruvu na Dodoma jiji refa kafunika penalty hata hazieleweki. Mna penalties kibao,dk za nyongeza mnajipimia kuna siku zitaongezwa 45.Watu hatulalamiki na kesho Mgunda kama kawa hato wakela.
 
Sare kipa wako mwenyewe si alikuwa na wenge watubwalikuwa wanajipigia kimasihala yy anaachia, kaangalie highlight ya magoli yote na Coastal likiwemo na la Shabalala. Azam offside mbili hamkupiga kelele kama mmpendelewa,JKT Ruvu na Dodoma jiji refa kafunika penalty hata hazieleweki. Mna penalties kibao,dk za nyongeza mnajipimia kuna siku zitaongezwa 45.Watu hatulalamiki na kesho Mgunda kama kawa hato wakela
 
Anataka kuonyesha yeye ni untouchable ndiyo maana anafanya hayo mambo hadharani. Huyu dawa yake ni kumfunga vizuri tu yeye na vibaraka wake na asichukue ubingwa, adabu itarudi tu mbona.
 
🤣 Kwani ligi ya tz ilianza kubadilika lini boss… ligi ya tz tunaijua huo ndo mwenendo wenu…coz team zote zinazo shiriki ligi kuu tz watu wao ni mashabiki wa hizi team mbili za K/koo, leo unasema hivi wakati haijawai badilika buda… cha msingi kila mtu ana tawi lake ikifika wakati wa simba waongee na watu wao kwenye team husika ikifika wakati wa ya ga pia wafanye ivyo coz soccer lenu mnalijua wenyewe.
 
Game katikati ya uwanja ndio huwa inatoa picha kamili, utopolo na jiiesiemu wanaharibu mpira wa bongo,nashauri jiiesiemu wafungiwe kutoa uzamini na kujihusisha na soka
 
Reactions: Tui
Yaani ndiyo utetezi wako huu?
Kwani utetezi wenu unaushahidi au hisia? Tatizo lenu tunafikiri kana nyie lwa kuongozwa na hisia mnasema tunakosea.

Yaani huo utetezi uonavyo kituko ndivyo sisi tunavyo wanna na kelele zenu zinazo ongozwa na hisia.
 
Game katikati ya uwanja ndio huwa inatoa picha kamili, utopolo na jiiesiemu wanaharibu mpira wa bongo,nashauri jiiesiemu wafungiwe kutoa uzamini na kujihusisha na soka
Wakamfungie mhindi wenu kwanza anayefanya biashara ya kununua marefa wakina Tatu malogo
 
Ndio nasema Kila timu ishinde mechi zake mambo ya kubweka bweka kama mbwa atutaki
 
Kwani utetezi wenu unaushahidi au hisia? Tatizo lenu tunafikiri kana nyie lwa kuongozwa na hisia mnasema tunakosea.

Yaani huo utetezi uonavyo kituko ndivyo sisi tunavyo wanna na kelele zenu zinazo ongozwa na hisia.
Kwani Coastal hajatoka sare na Simba msimu huu? Hizo ni hisia au facts? Eti wafungaji wa Coastal walijipigia kimasikhara halafu unasema tunatumia hisia.

Namungo hakulazimisha sare mwishoni mwa msimu wa juzi na kusitisha mbio za ubingwa za Simba? Hizo ni hisia au facts?

Azam haijatoka sare mara kibao tu na kuifunga simba misimu ya hivi karibuni na hata kuitoa kwenye FA Cup? Hizo ni hisia au facts?

Narudia kwa mara nyingine, tupe mfano wa hata mmoja wa tawi la GSM kuifunga au kutoka sare na Yanga.
 
Ubora unaamua usitake kulazimisha unachokitaka wewe akilini mwako,,ndio maana mnalazimisha kumpangia kocha wa singida kikosi chake nyie mmekuwa nani? Yani mambo ya kiufundi ya kocha mumpangie nyie eti kwakuwa tu amtaki yanga ishinde,,ovyo kabisa🚮🚮🚮
 
Fact ambazo hazina ushahidi zenye hisia unaziita fact au kwa sababu zinakufurahisha wewe.
 
Simba haina huo upuuzi,na ndiomaana mashabiki wa yanga kwenye mabanda ya mpira mtaani,siku ya game ya simba wanajaa sana,tofauti ikicheza utopolo kunakuwa hamna mwenye muda wakuangalia maigizo
Kwakuwa wewe ni miongoni mwa wale aliowataja Rage Wala sishangai kwa ulichokisema
 
Ukweli unauma siku zote,acheni maigizo mnaharibu ligi yetu utopolo!
Ni hivi pale tff Kuna sanduku la maoni pelekeni kule sisi atuna msaada na nyie,,mtaendelea kubweka hapa kama amnazo na tunasema mlianza tutamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…