Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

Ubora unaamua usitake kulazimisha unachokitaka wewe akilini mwako,,ndio maana mnalazimisha kumpangia kocha wa singida kikosi chake nyie mmekuwa nani? Yani mambo ya kiufundi ya kocha mumpangie nyie eti kwakuwa tu amtaki yanga ishinde,,ovyo kabisa🚮🚮🚮
Sawa mashabiki hawawezi kumpangia kocha, ila ndiyo beki isiweke ukuta kwenye faulo karibu na goli? Ndiyo mwekezaji amwamuru kocha nani acheze, nani asicheze na nani aanze?
 
Sawa mashabiki hawawezi kumpangia kocha, ila ndiyo beki isiweke ukuta kwenye faulo karibu na goli? Ndiyo mwekezaji amwamuru kocha nani acheze, nani asicheze na nani aanze?
Leta ushahidi wa uyo bosi akimwamuru nani acheze nani asicheze,, kama akuna basi ata kijiri alijifunga Ina maana Mo alimwamuru ajifunge?
 
Ni hivi pale tff Kuna sanduku la maoni pelekeni kule sisi atuna msaada na nyie,,mtaendelea kubweka hapa kama amnazo na tunasema mlianza tutamaliza
hatupeleki maoni tff,game za kimataifa ndio zitahamua nani bora mkuu,nyie hayo maigizo yenu kama yana manufaa endeleeni nayo,jiiesiemu anataka matokeo ya kisanii ili kuendelea kuinyonya utopolo
 
Leta ushahidi wa uyo bosi akimwamuru nani acheze nani asicheze,, kama akuna basi ata kijiri alijifunga Ina maana Mo alimwamuru ajifunge?
Kocha wa Singida aliwahi kusema hayo maneno.
 
hatupeleki maoni tff,game za kimataifa ndio zitahamua nani bora mkuu,nyie hayo maigizo yenu kama yana manufaa endeleeni nayo,jiiesiemu anataka matokeo ya kisanii ili kuendelea kuinyonya utopolo
Sasa kimataifa unakosemea ni sawa na kujivua nguo tu,,mwenzako alikuwa klabu bingwa wewe ukapewa nafasi ya nyongeza kucheza mashindano ya wakinamama kwa kushika nafasi ya 3 sasa ubora upi huo unaousemea?
 
Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati!

Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na waziri mkuu ambae ni mwanachama hai wa kolo, kesho wanacheza na Simba lakini akuna ahadi yoyote iliyotolewa ili wapate ushindi but ikicheza na yanga ahadi uwa ni za kumwaga!

Tunakwenda kushuhudia kile tulichokishuhudia kule tabora,,aitokuwa mechi bali uchafu!
Kwa maana iyo Kila timu ishinde mechi zake na wale wabwekaji wafunge mabakuri yao akuna kucheka na kima sasa hivi ukitumia panga tunatumia shoka,,bampa to bampa mpaka kitaeleweka!
Hizi timu za Kariakoo ni Bora ziwe na ligi yao ziwe zinacheza zenyew
 
Kweli chura hana mshipa wa aibu. Si umetaka ushahidi wa ninachosema, huo hapo. Bado unaona viashiria vya kubebana hapo?
Yaani natumia akili unayo tumia wewe unasema sina aibu,kwani kwa mnawalamikia Singida kwa kosa gani? Au unasahau na wewe unafanywaga nini Yanga.

Yaani natumia akili unayo tumia ww unasema na Kosea.
 
Hizi timu za Kariakoo ni Bora ziwe na ligi yao ziwe zinacheza zenyew
Hizi Timu zinajuana, Kila Moja inafanya huo ushenzi but Mmoja akimuwai mwenzake ndio unaona milio kama hivyo,,ujiulize yanga anapofungwa mbona wanakenua meno yote 32 nje? Hapo uwezi kusikia kolo yeyote anasema gsm anaharibu ligi but yanga akishinda tu mechi mfululizo wanaazima na sound bar kabisa kubweka bweka kama mbwa kichaa!
 
Yaani natumia akili unayo tumia wewe unasema sina aibu,kwani kwa mnawalamikia Singida kwa kosa gani? Au unasahau na wewe unafanywaga nini Yanga.

Yaani natumia akili unayo tumia ww unasema na Kosea.
Eti unatumia akili ninayotumia mimi, kijana una majivuno wewe. Yaani hapo unajiona smart kichizi kumbe unatapika uharo tu masikini.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Eti unatumia akili ninayotumia mimi, kijana una majivuno wewe. Yaani hapo unajiona smart kichizi kumbe unatapika uharo tu masikini.
Si akili yenu ya hisia,yani hapo unachofanya ni sawa na kujiambia wewe mwenyewe unatabika uharo.
 
Utasikia anasemwa Yanga na mambo kibao lakini kiuhalisia mambo haya yapo kwa makolo wapiga kelele
Kwenye ligi ziko yanga nane kati ya hizo 7 zipo kwaajili ya kumtafutia huyo mmoja point, kwahy yanga mpaka ligi inaanza tayar yy alikuwa na uhakika na point 42
 
Back
Top Bottom