Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati!
Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na waziri mkuu ambae ni mwanachama hai wa kolo, kesho wanacheza na Simba lakini akuna ahadi yoyote iliyotolewa ili wapate ushindi but ikicheza na yanga ahadi uwa ni za kumwaga!
Tunakwenda kushuhudia kile tulichokishuhudia kule tabora,,aitokuwa mechi bali uchafu!
Kwa maana iyo Kila timu ishinde mechi zake na wale wabwekaji wafunge mabakuri yao akuna kucheka na kima sasa hivi ukitumia panga tunatumia shoka,,bampa to bampa mpaka kitaeleweka!